MASHIA WA SAUDI ARABIA INAPASWA KUFANYA NAO MAZUNGUMZO KWA UADILIFU NA KUZINGATIA MISINGI YA KITABIA KISHA MTAONA TIJA YAKE

kupitia mazungumzo haya na mimbari hii ninawaambia viongozi wa Saudia kuwa mpaka sasa mumetumia njia ya dhulma na mabavu na hamjafikia tija yoyote, hivo kwa maranyengini jaribuni kubadirisha njia kwa misingi ya uadilifu, tabia njima na usawa, na kuchunga haki za wananchi wa kishia, kasha mtaona kuwa kile mnacho kitaka mtakifikia 

Mashia wa Saudi Arabia inapaswa kufanyanao mazungumzo kwa uadilifu na kuzingatia misingi ya kitabia kisha mtaona tija yakeShirika la habari la AhlulBayt (a.s) ABNA; (Hadhrat Ayatullah Al udhma Haji Sheikh Jaafar Subhaniy) katika kuashiria tuhuma za utawala Saudi Arabia dhidi ya Sheikh Namir katika mwanaharakati wakuu wa Saudia alisema; ikowazi kuwa tuhuma hizo hazihusiki na suala la kimahakama na kitaifa bali ni suala la kibaguzi.

Naye baada ya kumalizi somo lake la usuli aliashiria hadithi ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w) isemayo;”mwenye kusikia mtu akiita kutaka msaada kwa waislamu na hakuwa mwenye kumsaidia basi si katika waislamu” nakusema; maisha ya Ayatullah Sheikh Namir Baaqir Namir kama inavyo fahamika baina ya waislamu wa Saudi Arabia ni dalili tosha kuwa yeye si mtu muovu wakufanya hayo wanaomtuhumu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on April 5, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: