MAOMBOLEZO YA KIFO CHA BI FATMAH ZAHRAA: MTOTO PEKEE WA MTUME (SAWW)

Shahada ya Fatima Zahra(AS)Siku ya leo Tarehe 14/04/2013 Sawa na Tarehe 3 Jumadil Ula 1434 inasadifia na siku ya Tukio la Majonzi na Maombolezo kwa ummah wa Kiislamu wa Kuondokewa na Mtoto wa Mtume (Saww) Bi Fatmatu zahraa.

Tukio la kuchomwa moto nyumba ya sayyidat fatima (a.s) na ambalo ndio lililokuwa chanzo cha kifo chake cha kishahidi.Historia ya Kiislaam inasema kwamba, Abubakri watu walimpa au kiapo cha kumkubali kuwa khalifa siku ile ile aliyoaga dunia Mtume wa Mwenyeezi Mungu (s.a.w) katika sehemu moja inayoitwa SAQIYFAT BANIY SAAD; kisha wakampa baia kwa ujumla siku ya Jumatatu ambayo ilikuwa ni siku inayofuatia baada ya siku ile aliyoaga dunia Mtume (s.a.w).Lakini Saad bin Ubaada,alikataa kata kata kumbai na kumkubali Abubakri kuwa ni khalifa wa Mtume (s.a.w),pia watu wengine baadhi kwa upande wa Khazraj,na upande wa ma-Qurayshi,nao kama Saad walikataa kumbai Abubakri.wakawa upande wa Imam Ali (a.s).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on April 14, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: