MAWAHABI SYRIA WAFUKUA NA KUHARIBU KABURI LA SAHABA MTUKUFU WA MTUME (saww)

Syria militants have reportedly exhumed the grave of Hujr ibn Adi, a close companion of the Prophet Mohammad (PBUH) and Imam Ali (PBUH) in the Damascus suburb of Adra.

Syria militants have reportedly exhumed the grave of Hujr ibn Adi, a close companion of the Prophet Mohammad (PBUH) and Imam Ali (PBUH) in the Damascus suburb of Adra.

Vikundi vya Waasi vimeripotiwa kushambulia na mausoleum na kufukua kaburi la Hujr ibn Adi katika kitongoji ADRA, Damascus Alkhamis  2, 2013 3:53PM

Vikundi vya Waasi vimeripotiwa kushambulia na zarihi na kufukua kaburi la Hujr ibn Adi katika kitongoji ADRA, Damascus Alkhamis  2, 2013 3:53PM

Ripoti kutoka Syria zinaeleza kuwa Vikundi vya wanamgambo waasi vyenye msimamo ya kiwahhabi wenye msimamo mkali wameharibu na kulifukua kaburi la kale la Sahaba wa Mtume karibu na mji mkuu, Damaskas.

Waasi hao wameripotiwa kushambulia na mausoleum na kufukua kaburi la Hujr ibn Adi katika kitongoji ADRA, Damascus na kuchukua mabaki yake na kutokomea pasopojulikana.

Hujr Sahaba na rafiki wa karibu wa Muhammad Mtume (saww) na msaidizi mkuu wa kwanza wa Imam wa Kwanza wa Shia Imamu Ali bin Abi Talib (as) – aliongoza jeshi la Waislamu na kupata ushindi katika vita kadhaa muhimu. Hujr na wanawe hatimaye walikuja kuwa waathirika kwa uaminifu wao ulotukaka kwa Imamu Ali (as) na hilo lilipelekea kuuawa kwa amri ya Muawiyah Khalifa wa utawala Umayya, katika mwaka 660 CE.

Syria imekuwa inakabiliwa na machafuko ya ya umagaji damu  tangu Machi 2011, na watu wengi, ikiwa ni pamoja na idadi kubwa ya wafanyakazi wa jeshi na usalama, wameuawa katika machafuko. Serikali ya Syria inasema kwamba vurugu hizo zinachochewa kutoka nje ya nchi, na kuna taarifa kuwa idadi kubwa ya wapiganaji ni raia kigeni.

Habari kutoka Damaskasi zinasema Mataifa ya Magharibi na washirika wake wa kanda, Qatar, Saudi Arabia, na Uturuki ndio wanaofadhili na kusaidia makundi ya waasi nchini humo. Aidha, Mashirika kadhaa ya kimataifa ya haki za binadamu wavituhumu kwa uhalifu wa kivita vikundi vya Waasi  vinavyopigana na Serekali halili ya Bashar.

Chanzo cha habari: presstv

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on May 3, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: