Kufuatia mashambulizi ya Israeli huko Damaskasi mwishoni mwa wiki hii iliyopita, Tehran Imethibitisha msaada wake kamili kwa Syria. Tehran inatambua msingi wakadhia hii “mashambulizi ya Israel japo yalilenga Syria, lakini lengo halisi ilikuwa Iran na Hizbullah”.

Hii ni nukta ya ujumbe kutoka Kiongozi Muadhamu wa Iran Ali Khamenei, iliyopelekwa na mjumbe wake maalum Ali Akbar Salehi kwa Rais wa Syria Bashar al-Assad.

Salehi alimpa habari al-Assad, kwa niaba ya Khamenei, “Ujumbe wa mshikamano na msaada kamili usio na ukomo kutoka Iran, kisiasa, kijeshi, na kiuchumi, kwa uongozi wa Syria na watu wake, dhidi Makundi ya ukufurishaji (takfiris), magaidi, Israeli, Marekani, na wote ambao watathubutu kushambulia nchi hii. “

Vyanzo vya habari Iran vimeelezea ujumbe huu ni kuthibitisha kauli ya hivi karibuni ya Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah. “Ni barua ya moja kwa moja kutoka [Khamenei] kwa Rais al-Assad,” chanzo kilieleza. “Na inakuja kufuatia uchokozi wa hivi karibuni wa Israel juu ya Damaskasi.

Chanzo: moqawama.org

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on May 13, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: