ZAKATUL FITRI

image

ZAKA YA FITRI
“Hakika amekwisha faulu aliyejitakasa
(na mabaya kwa kutoa zaka) na akakumbuka jina la Mola wake na akasali.” 87: 14-15.
Zaka ya Fitri ambayo kwa jina jengine huitwa ‘Zaka ya kiwiliwili’ ni faradhi ambayo ilifaradhiwa ili kuwatakasia waliofunga Saumu zao.

Zaka hii ya Fitri, humlazimu mtu aliyebaleghe, aliye na akili, huru, na mwenye kuwesa.

Mbali na kuwa utakaso kwa viwiliwili, Fitri hii huwa ndicho kifurahisho kwa asiye na uwezo ili naye apate kufurahia siku ya kufuturu (siku ya Iddi) kama wenzake.

Aliyeyatimiza masharti ya kuitoa zaka hii, hulazimika kujitolea yeye mwenyewe na kumtolea kila anayehesabika kuwa wa familia yake na anayemlazimu kumlisha hata kama ni mgeni akiwa alimjia kabla ya kuingia usiku wa kuamkia Iddi. Ama mgeni aliyefika baada ya kuingia usiku, na mtoto aliyezaliwa baada ya kuingia usiku, yaani Magharibi, hawalazimu kuwatolea zaka hii ya Fitri.

Wakati wa kuitoa, ni baada ya kuingia usiku wa kuamkia Iddi, na ni vizuri zaidi kuitoa kabla ya Kusali sala ya Iddi.

Kitolewacho ni tende, ngano, shayiri (barley) na zabibu au kiwango (senti) cha chakula kitumikacho zaidi nchini. Kila mtu hutolewa pishi (kilo tatu – 3kg.).

Wapewao zaka hii ya Fitiri, ni Waislamu wenye imani wasiojiweza. Ni Sunna kuwatanguliza katika ugawanyaji, watu wako, yaani wa ukoo wako, kisha majirani walio fukara (maskini). Na miongoni mwa wanaostahili kupawa, ni vyema kuwatanguliza wenye elimu kisha wenye dini zaidi. Ama (Mwisilamu) mlevi, na asiyesali watu hao hawapewi

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on August 6, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: