MAULANA SHEIKH HEMED JALALA SEMINA YA UJASIRIAMALI -J’AFAR COMPLEX

SEMINA ILIYOLENGA KUTOA ELIMU JUU YA UJASIRIA MALI KWA AKINA MAMA ILIYOFANYIKA J’AFAR COMPLEX

samahat sheikh hemed jalala katika semina inayohusu utoaji wa elimu juu ya ujasiriamal i(Entrepreneurship) iliyofanyika katika ukumbi wa Ja’far Complex Ilala Dar es Salaam amzengumza katika majumuisho ya mada zote zilizotolewa kwa kutoa ushauri, Dua pamoja na pongezi kwa akina mama ambao wanajIshughulisha na kazi mbalimbali juu ya kuzijenga familia zao na jamii kwa ujumla.

 

Samahat Sheikh ameendelea kusema kuwa kazi hizi za kina mama zina historia kubwa katika uislamu juu ya kuijenga jamii na kuundeleza uislamu kwa ujumla. Sheikh ameeleza jinsi Bibi Khadija a.s mama wa waumini na mke wa bwana mtume s.w.w.w. jinsi alivyokua akifanya kazi na mpaka historia ikaandika kupitia kinywa cha mtukufu mtume kwamba uislamu umesimama kwa mali ya bibi Khadija a,s.

Samahat Sheikh ameendelea kusema kuwa HIJAB ya mwanamke haivunjiki kwa kufanya kazi katika jamii bali ni njia ya kumpa mwanake heshima na utukufu ambao Allah ameshauweka juu yake.

 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 4, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: