Mgogoro wa Syria kuvuta picha mzima ya maongezi ya Mkutano wa G20

Mgogoro wa Syria kuvuta picha mzima ya maongezi ya Mkutano wa G20
Mataifa yenye nguvu za kiviwanda duniani, G20 yameendelea na mjadala mkali juu ya mzozo wa Syria na kushindwa kufikia maafikiano ya pamoja juu ya shinikizo la Marekani kuungwa mkono katika uvamizi wa kijeshi nchini Syria. 
429406_m

Ripoti ABNA- Marekani imekua ikishinikiza kuungwa mkono kuingia kijeshi nchini Syria kufuatia madai ya majeshi ya serikali hiyo kuwa yalitumia silaha za kemikali dhidi ya Syria.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema mwakilishi wa pamoja wa Umoja huo na nchi za kiarabu katika suala la Syria Lakhdar Brahimi anaelekea Urusi kuangalia jinsi ya kuweka ushawishi mpya ili mkutano wa pili kuhusu Syria uweze kufanyika.

wakati huu ambapo dunia inajikita juu ya hofu ya matumizi ya silaha za kemikali huko Syria, Brahimi atasaidia kushinikiza kufanyika kwa mkutano huo wa Geneva.

Brahimi amesema suluhu la kisiasa ndio njia pekee ya kumaliza umwagaji damu nchini Syria.

Wakati mvutano juu ya mzozo wa Syria ukiendelea Rais wa Umoja wa Ulaya Van Rompuy sanjari na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon wamesema hakuna suluhu kupitia mashambulizi ya kijeshi.

 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 8, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: