RAIS ROHANI AFANYA SAFARI YA KWANZA NJE YA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dkt. Hassan Rohani mapema leo amewasili katika mji mkuu wa Kyrgyzstan, Bishkek, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO). Dkt. Hassan Rohani amepewa mlahaka wa aina yake punde baada ya kuwasili. Rais wa Iran amesema mkutano huo wa SCO una umuhimu wa kipekee kwani unazijumuisha nchi zenye nafasi ajuadi katika siasa za kimataifa kama vile China na Russia. Amesema Beijing na Moscow ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zitapata fursa ya kuwasilisha mtazamo wa SCO katika uga wa kimataifa. Jumuiya ya SCO ilibuniwa mwaka 2001 mjini Shangai, China na jukumu lake kubwa ni kuangalia masuala ya kiusalama katika nchi wanachama ambazo ni China, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, Tajikistan, and Uzbekistan. Nchi za Iran, India, Mongolia, na Pakistan ni wanachama watazamaji. Rais Rohani anatarajiwa kuzungumzia misimamo ya nchi yake kuhusiana na kadhia ya Syria pamoja na masuala mengine ya kimataifa. Hii ni safari ya kwanza ya Dkt Hassan Rohani nje ya nchi tangu aliposhika rasmi hatamu za uongozi Agosti 4 mwaka huu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 12, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: