AYATULLAH KARMANI ASEMA WAVAMIZI WATAKIONA HUKO SYRIA.

AYATULLAH KARMANI: WAVAMIZI WATAKIONA HUKO SYRIA.Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo kuwa Waislamu wako macho na kwamba yeyote atakayeanzisha vita dhidi ya Syria atafunikwa kabisa na moto wa vita hivyo.Ayatullah Muhammad Ali Movahhedi Kermani amesema Marekani, utawala ghasibu wa Israel na waitifaki wao wamekuwa wakipiga ngoma za vita dhidi ya Syria lakini wamegundua hatari inayowakabili na ndio maana kwa sasa wameamua kutia ulimi puani. Ayatullah Kermani amesisitiza kuwa, nchi yoyote itakayoanzisha mashambulizi dhidi ya Syria iwe tayari kuungua kwenye moto wa vita hivyo. Ametahadharisha kuwa, Marekani ikijaribu kuingilia kijeshi mgogoro wa Syria itapatwa na aibu kama iliyoupata muungano wa Usovieti miaka ya huko nyuma. Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijuma hapa Tehran ameukumbusha Umma wa Kiislamu kwamba, Utawala haramu wa Israel ndio chanzo cha matatizo katika eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika na kuwataka Waislamu wajiepushe na utawala huo wa Kizayuni.Huku hayo yakijiri, Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa, Bashar Ja'afari amesema kuwa, Rais wa nchi yake, Bashar Assad ametoa agizo la kusainiwa mkataba wa WCW unaopinga usambazaji na utumiaji wa silaha za sumu. Itachukua muda kabla ya nchi hiyo kuwa mwanachama ingawa weledi wa mambo wanasema hiyo ni hatua moja mbele kwa Syria kuangamiza silaha za kemikali na kwamba nchi zingine zinapaswa kufuata mkondo huo. Chanzo cha habari http://kiswahili.irib.ir/habari/habari/item/34660-ayatullah-kermani-wavamizi-watakiona-huko-syria
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo kuwa Waislamu wako macho na kwamba yeyote atakayeanzisha vita dhidi ya Syria atafunikwa kabisa na moto wa vita hivyo.

Ayatullah Muhammad Ali Movahhedi Kermani amesema Marekani, utawala ghasibu wa Israel na waitifaki wao wamekuwa wakipiga ngoma za vita dhidi ya Syria lakini wamegundua hatari inayowakabili na ndio maana kwa sasa wameamua kutia ulimi puani. Ayatullah Kermani amesisitiza kuwa, nchi yoyote itakayoanzisha mashambulizi dhidi ya Syria iwe tayari kuungua kwenye moto wa vita hivyo. Ametahadharisha kuwa, Marekani ikijaribu kuingilia kijeshi mgogoro wa Syria itapatwa na aibu kama iliyoupata muungano wa Usovieti miaka ya huko nyuma. Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijuma hapa Tehran ameukumbusha Umma wa Kiislamu kwamba, Utawala haramu wa Israel ndio chanzo cha matatizo katika eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika na kuwataka Waislamu wajiepushe na utawala huo wa Kizayuni.

Huku hayo yakijiri, Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa, Bashar Ja’afari amesema kuwa, Rais wa nchi yake, Bashar Assad ametoa agizo la kusainiwa mkataba wa WCW unaopinga usambazaji na utumiaji wa silaha za sumu. Itachukua muda kabla ya nchi hiyo kuwa mwanachama ingawa weledi wa mambo wanasema hiyo ni hatua moja mbele kwa Syria kuangamiza silaha za kemikali na kwamba nchi zingine zinapaswa kufuata mkondo huo. Chanzo cha habari http://kiswahili.irib.ir/habari/habari/item/34660-ayatullah-kermani-wavamizi-watakiona-huko-syria

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 14, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: