NAFASI YA QURA’AN KATIKA MAISHA YA IMAM RIDHA.

Akisoma sura tofauti tofauti katika Qur’ani ndani ya Sala

Quraan

Imamu Rida (as) alikuwa akisoma sura mbalimbali za Qur’ani katika sala zote za wajibu na sunnah wakati wa mchana na usiku.

Raja bin Abi al-Zahhak ambaye unaambatana na Imam Ridha (as) katika safari yake ya kutoka Madina Merw, amesimulia  suala hili katika ripoti ya kina:

Imamu Rida (AS) daima akiswali rakaa sita (6) sala ya sunnah mwanzo wa kila saa sita mchana ambapo baada ya kusoma Suratul Fatihah, akisoma suratul Kaafiroon au suratul Ikhlaas; katika Rakaa zake mbili baada ya Sala ya Ja’far-e-Tayyar, alikuwa akisoma Suratul Al-Mulk au Suatul Insan. Pia, katika Sala ya Witr, alikuwa akisoma suratul  Falaq na  An-naas.

Aidha, katika sala zake za Wajibu, baada ya Suratul Fatihah, alikuwa akisoma Suratul Qadr; Saa sita Mchana Siku ya Ijumaa, alikuwa akisoma Suratul Jumu’ah katika Sala zake, na akisoma Suratul Munafiqun katika sala yake ya Isha; Alhamisi usiku, yeye alikuwa akisoma Suratula A’la, Jumatatu na Alhamisi, katika sala yake ya Fajr, katika rakaa ya pili, alikuwa akisoma Suratul Ghaashiyah baada ya suratul Fatihah.

Akisoma Qur’an nzima katika mji wa Makkah

Kulingana na baadhi ya nyaraka za Fiqh ya Razavi, Allama Mohaddes Nouri anasimulia kutoka kwa Imam Ridha (as): Kama unaweza, kusoma Qur’an yote kabisa kabla ya kuondokaMakka, Fanya hivyo kwani kufanya hivyo  ni jambo lililokokotezwa sana katika Uislamu.

 

Imefasiriwa na Abuuzahraa: 0655982292

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 20, 2013, in Habari na Matukio and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: