MUALIKO MUALIKO MUALIKO!!
Posted by Asadiq Media
HAWZATUL- IMAM JA’FAR SWAADIQ (A.S) PAMOJA NA IMAM BUKHARY ISLAMIC FOUNDATION
WANAPENDA KUWAKARIBISHA WAISLAM NA WASIO KUWA WAISLAM KATIKA SEMINA.
MADA: DHULMA ZINAZOFANYIWA UBINADAMU DUNIANI NA MTAZAMO WA WAISLAM DHIDI YA DHULMA ULIMWENGUNI.
Semina ya kupinga dhulma zinayofanywa na nchi za Kimagharibi ulimwenguni,
SIKU: Jumapili 29/09/2013.
UKUMBI: Lamada Hoteli, Ilala
MUDA: kuanzia Saa 3:00 Asubuhi hadi 10:00 jioni.
Kutakuwa na hotuba kutoka kwa Viongozi wa Dini mbalimbali, pia maswali na majibu yatakuwepo.
Nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinapanga kuishambulia Syria. Hivyo ni jukumu la kila mtu bila kujali Dini wala Madhehebu kupinga Uonevu/Mauwaji/Uvamizi dhidi ya Syria. Mwenyezi Mungu anasema katika Kitabu chake kitukufu:
“Mwezi mtukufu kwa mwezi mtukufu, na vitu vitakatifu vimewekewa kisasi. Basi anae washambulieni, nanyi pia mumshambulie kwa kadiri alivyowashambulieni, na muogopeni Mwenyezi Mungu na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wamchao.” (2:194)
“KILA MPENDA HAKI ASIKOSE KUHUDHURIA SEMINA.”
__________________________________
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:
Mohammed Mputa: 0786750004
Jamal Mackroy: 0713888275
-6.821150
39.241447
About Asadiq Media
Media for publicise the message of Wilaya under Imam SwadiqPosted on September 21, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.
Leave a comment
Comments 0