MASJID ALGHADIR YAONGOZA WAUMINI KUCHANGIA DAMU

Samahat tul imam wa masjid Alghadir aliongoza Waumini katika kuchangia Damu kwa ajili ya wagonjwa katika hospitali zetu hapa nchini. Ikiwa mtu mtu sii mwenzako katika dini basi ni mwenzako kimaumbile na anastahiki haki 2013-09-20 12.46.19kutoka kwako,  Tunapochangia damu hatuangalii ni nani anaekwenda kutumia, iwe ni kwa misingi ya Rangi ,kabila au dini bali tunachoangalia ni binadamu ambae anahitaji msaada wa kibinadamu kutoka kwetu, Uislamu unatufunza kuwa binadamu ni kutoka katika gereza la umimi na ubinafsi, mtu kuwa binadamu ni kuwa mithili ya hii hewa yote ambayo inaipa nguvu sayari zote na ulimwengu, mtu kuwa binadamu ni kuwa hili jua lote ambalo linatoa mwangaza katika sayari zote za hii dunia,  mtu kuwa binadamu ni kuwa ni mto wenye kutirirsha maji ambao haulizi asili ya ardhi unapotiririshia maji aidha ni yenye rutuba au isiyo na rutuba isiyootesha, mtu kuwa binadamu ni hali ya kuruhusu ubinadamu ukaishi ndani ya maisha yake na ukatafsiri maana ya ubinadamu wake, mtu kuwa binadamu ni kuwa yule binadamu ambae binadamu wataishi ndani ya ubinadamu wake, uislamu unatufunza kuwa maana ya mtu kuwa binadamu ni kuhisi kwamba yeye ni sehemu ya ubinadamu katika uwepo wa binadamu wote duniani, ili kutoa, kutengeneza na kugundua kila hatua mpya katika dunia hii kupitia unachokipanda ili kufanya ni chenye zao katika ardhi mpya iliyotengenezwa kupitia njia zako kwaajili ya maisha na binadamu.

2013-09-20 13.37.57Huu ndio uislamu wa mtume muhammad s.w.w.w kupitia mafunzo ya ahlilbayt (a.s) ! Hatuungi mkono uislamu wa kwenda kulipua makanisa au sehemu za ibada za watu wengine kwa nembo ya uislamu kwani ni kinyume na mafunzo ya uislamu, Katika Khutba ya Sala ya Ijuma ya wiki iliypita ambayo ilitolewa na Samahat Sheikh Muhammad Abdi ambae ni Naaib Mudir wa Hawzatul-imam Swaadiq (a.s) alihimiza waumini na waislamu wote kuzilea nafsi zao na kujiepusha na mambo ya haramu, pia Aliwasihi watu kuishi vizuri na jamii na akawakaribisha wafanyakazi kutoka hospitali ya muhimbili ili kuendesha zoezi zima la kuchukua damu kutoka kwa waumini pamoja na wanafunzi wa Hawza yetu ambao walijitolea damu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 25, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: