Mufti wa zamani wa Misri Asifu na kupongeza Fatwa ya Imamu Khamenei

Mufti wa zamani wa Misri amepongeza Fatwa iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Imamu Khamenei iliyopiga marufuku kunajisiwa  na kukashifu Matukufu ya Kisunni.

downloadAkizungumza na mtandao wa habari wa Al-Arabia, Sheikh Ali Guma aliielezea Fatwa hiyo kuwa ni huduma kubwa kwa Uislamu na Waislamu na kwamba itasaidia sana kukuza umoja wa Kiislamu.

Mahali pengine katika hotuba yake, Mwanazuoni huyo wa Misri kukaribisha na kuunga mkono wito wa wanazuoni wa dini wa kishia Iraq juu ya iliyowataka wahubiri wa Kishia kuepuka kuwadhalilisha Masahaba (masahaba) katika hotuba zao na mahubiri.

Sheikh Guma alisisitiza kwamba wasomi wa kisunni wanapaswa kushirikiana na wenzao wa kishia ulimwenguni kote.

Alitoa mfano wa mikutano yake na wanazuoni wa Kishia katika mikutano mbalimbali na vikao, na kubainisha kuwa katika mikutano ya wakuu wa dini wa Madhehebu ya Shia alimwambia kwamba kuwatusi Masahaba sio tabia ya Shia ila ni njama njama za maadui ambao hawataki kuona umoja na mshikamano miongoni mwa Shia na Sunni.

Sheikh Guma pia alisema kwamba hakuna tofauti kubwa kati ya Shia na Sunni na kwamba ‘falsafa ya hata sheria za kifiqh za kishia ni za upeo wa juu zaidi kuliko Masunni’

Chanzo: http://www.iqna.ir/

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 27, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: