MAULANA SHEIKH HEMED JALALA AONGOZA MSAFARA WA TABLIGH BAGAMOYO KUZURU MAKUMBUSHO YA KALE YA USHIA TANZANIA

Katika siku ya ijumaa ya tar 27/9/2013 Samahat Sheikh Hemed Jalala Mudir wa Hawzatul_imam Swadiq (a.s) na kiongozi mkuu wa harakati zinazofanywa kupitia ofisi yake

Masheikh wakiwa wanatembea katika eneo la msikiti

Masheikh wakiwa wanatembea katika eneo la msikiti

aliongoza msafara wa wanaharakati 26 kuelekea bagamoyo kwaajili ya kuangalia mazingira ya Tabligh na vyanzo mbalimbali vinavyoonyesha masalia ya historia takatifu ya waliofikisha ujumbe wa Ahlilbayt a.s katika karne ya kumi na mbili,

Baada ya kuwa uislamu umekubalika waliendelea kujenga misikiti na mingine inaendelea kutumika mpaka hivi sasa,

msikiti wa shia ithna-ashariya bagamoyo baada ya kuwa misikiti miwili ya mwanzo iliyojegwa katika karne ya 12 imejaa

msikiti wa shia ithna-ashariya bagamoyo baada ya kuwa misikiti miwili ya mwanzo iliyojegwa katika karne ya 12 imejaa

PICHA MBELE YA MSIKITI WA MASHIA BAGAMOYO ULIOJENGWA 1889

Bagamoyo ni sehemu yenye waislamu wengi mpaka hivi sasa na tangu zamani, Ustaarab wa uislamu ulifikishwa hapa nchini na kutua sehemu ya bagamoyo na Masayyid(masharif) wanaotokana na kizazi kitukufu cha Bibi Fatima a.s Binti pekee ya Mtukufu mtume s.w.w.w . Kupitia athari za mabaki ya Kihistoria tunajionea misikiti iliyojengwa katika karne ya 12 na karne ya 13, Tumejionea makaburi yao na makazi yaliyokua yameandikwa maandishi matukufu ya majina ya maimamu.

msikiti wa mwaka 1889 baada ya misikiti miwili iliyojengwa karne ya 12 kuwa imejaa

msikiti wa mwaka 1889 baada ya misikiti miwili iliyojengwa karne ya 12 kuwa imejaa

Mashia ndio watu wakwanza kufikisha uislamu Halisi na kuwafundisha watu ibada na utamaduni wa uislamu kwa ujumla, na kuthibitisha hili wafuasi hawa wa Ahlilbayt kutoka uajemi(Irani) ndio walioweka msikiti wa kwanza Tanganyika(Tanzania Bara).

Samahat Sheikh Hemed jalala akiwa na masheikh Samahat sheikh Muhammad Abdi na Samahatuna Sheikh Ghawth Nyambwa pamoja na wanaharakati.

Msikiti huu(hapo chini) wa mwanzo zaidi uko sehemu ya Kaole katika mji wa Bagamoyo ambayo imeshikiliwa na

msikiti uliojengwa na wafuasi wa Ahlilbayt a.s

msikiti uliojengwa na wafuasi wa Ahlilbayt a.s

serikali kama sehemu ya makumbusho, Msikiti huu ulijengwa sehemu ya makazi ya wafuasi hawa wa imam Ali a.s, Katika sehemu hii tumeona kuna makuburi kisima na nyumba waliyokua wakiishi watumishi hawa wa maimamu a.s.

nyumba waliokuwa wakiishi masharifu hao,!Allah azilaze roho zao pema

nyumba waliokuwa wakiishi masharifu hao,!Allah azilaze roho zao pema

samahat sheikh akifanya Tanzil kwenye kaburi la sayyida miongoni mwa mubalighina

samahat sheikh akifanya Tanzil kwenye kaburi la sayyida miongoni mwa mubalighina

makaburi

makaburi ya masharifu bagamoyo

Katika maeneo haya kuna mabaki ya makaburi yao matukufu ambayo wanaharakati walipazuru na kufanya dua  kwa ajili ya roho zilizolala pale.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on September 28, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: