SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZIWAFIKIE MASHIA WOTE WA ARUSHA.

        INNALILAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN

Asalamu Aleykum warahmatullah wabarakatuhu.

Ofisi ya samahat sheikh Hemed jalala Mudir wa Hawzatul-imam Swadiq a.s na kiongozi wa harakati zinazofanywa chini ya ofisi yake jijini Dar es salaam inachukua fursa hii kutuma salamu za rambirambi na pole kwa mashia wote wa Arusha, MASHEIKH WOTE KWA UJUMLA  na Hususan Familia ya MZEE ABDALAH SALIM kwa kufiwa na kijana mwanaharakati ABDURAZAQ ABDALAH SALIM katika siku ya ijumaa ya wiki hii.

Wanaharakati wote wa Dar es salaam na masheikh wa Hawzatul-imam Swadiq a.s wanatoa pole zao za dhati na pia wanachukua fursa hii kuwakumbusha waumini wote watakaopata taarifa za msiba huu kumkumbuka ndugu yetu kwa dua na pia kumsalia SALATUL-WAHSHA KATIKA MAGHARIBI YA LEO kwani inatarajiwa kuwa marehemu wetu atazikwa leo.

Tuna muomba samahat SHEIKH MAULID imam wa Masjid Zahraa Answarul-imamiyya apokee salamu zetu hizi na atufikishie kwa waumini wote.

     UNAOMBWA USOME SURATUL-FATIHA KWA AJILI YA ROHO YA NDUGU YETU ABDURAZAQ ABDALA SALIM

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 12, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: