Eid Ghadir – 18 Zilhajj

Katika siku ya Tarehe 18 Zilhijjah mwaka 10 A.H. ( Machi 10, 632 CE) , baada ya kumaliza Hijja ya mwisho, Mtume (saw) pamoja na takriban Waislamu 100,000 walifika sehemu iitwayo ‘Ghadir Khumm karibu na Makka . Aya ifuatayo iliteremshwa : [Quran 5:67 ] ( Ewe Mtume! Fikisha yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa Mola wako; na kama hutofanya, basi hujafikisha ujumbe uliotemshwa kwako, na Mwenyezi Mungu atakulinda na watu , hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri).

Baada ya kupokea aya hiyo hapo juu, Mtume alisimama katika sehemu hiyo na alitoa nukuu ya sehemu ya hutuba hiyo ni: “…. Inaonekana wakati umekaribia wa mimi kuitwa ( kwa Mwenyezi Mungu ) na hakika nitauitika wito huo. Nakuachieni vizito viwili vya thamani na kama kama mtashikamana navyo vyote wawili, kamwe hamtapotea baada yangu. Navyo ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu na kizazi changu , hao ni Ahlul Bait wangu . . . Viwili hivyo kamwe havitajitenga mpaka virejee kwangu katika kisima ( peponi )”

Kisha Mtume (saww) katika jaribio la kuwakumbusha Waislamu juu ya mamlaka yake kwao  alisema alisema: “Je, si mimi kuwa ni mwenye haki zaidi juu ya waumini kuliko nafsi zao? “ Waislamu wakajibu kwa kauli moja “Ndiyo, Ewe ‘Mtume wa Mwenyezi Mungu”. Huu ulikuwa msingi muhimu wa tangazo la wazi kumtangaza  mrithi wake na Khalifa baada yake. Mtume (saw) uliuchukua mkono wa mkono wa Imam Ali (as) na kuunyanua juu na akasema: “Yeyote ambaye mimi ni Kiongozi wake (mawla), basi ‘Ali ni Kiongozi wake (mawla).” Mtume kisha akaendelea kusema; “Eeh!’ Mungu, Mpende atakayempenda yeye (Ali), na kuwa na uadui kwa wale ambao ni maadui naye.”]…

Siku hii pia hujulikana mbinguni kama ‘ Ahad e- Mahood ‘ na  hujulikana duniani kama ‘Meethaq-e-Maakoodh ‘

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 22, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: