KUAGANA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA TEOLOJIA CHA IMAM SWADIQ (A.S)

1

Mkuu wa chuo Sheikh Mohd Abdi akiagana na wanafunzi,katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere,huku Mh Shuaib (katika picha hapo chini)akiwapatia vijana semina kuhusu yale yote ya muhimu yanayo husiana na safari.

Elimu katika Uislamu ni nyenzo muhimu ambayo Mtume wetu s.w.w.w amesisitiza tuichukue popote kwani ni mali ya waislamu, Chukua Elimu kokote hata kwa kafiri kwani ni bidhaa iliyopotea.

2Uongozi wa hawza ya Imama Swadiq inalijua hilo na imekua ikilifanyia kazi kwa vitendo tangu muda na matunda yake ni miongoni mwa vijana ambao tunategemea watakuja kuwa ni wanazuoni wa kutegemewa na jamii yetu katika siku za usoni inshaAlah.

USTADH SHUAIB PAMOJA NA SAMAHAT SHEIKH HUSSEIN KABWE WAKIWAPA NASAHA VIJANA KABLA YA SAFARI YAO YA KUELEKEA KWENYE MASOMO ILI KUJA KUSAMBAZA UISLAM HALISI.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 22, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: