Hutuba ya Mtume katika Kijito cha Khum

lvl120131022104037 (2)Baada ya kupokea ayah, Mtume (Rehema na Amani ziwe juu yake na watu wa nyumba yake) alisimama sehemu ya (Kijito cha Khum) ambapo kulikuwa na joto kali sana. Kisha akawaita wale watu wote ambao walikuwa wametangulia mbele, kurudi nyuma na kusubiri mpaka mahujaji wote waliokuwa nyum wafike na kukusanyika. Akamuarisha Salman [r] kutengeneza Mimbari kwa kutumia majabali na matandiko ya ngamia ili aweze kutoa tangazo lake. Ilikuwa ni karibu saa sita mchana i Mwanzo mwanzo mwa msimu wa Maanguko, na kutokana na joto kali katika bonde hilo, watu walikuwa wakifunika kwa vilemba vyao kuzunguka miguu yao, na walikuwa wamekaa juu ya miamba yenye joto kali wakiizunguka mimbari,.

Katika siku hii Mtume Mtume (Rehema na Amani ziwe juu yake na watu wa nyumba yake) alitumia takriban saa matano katika eneo hili; Saa tatu kati ya hizo akiwa mwenyewe kwenye mimbari. Alisoma Takriban aya mia moja katika Qur’ani Tukufu, na zaidi ya Mara sabini na tatu akiwaonya na kuwakumbusha watu wa matendo yao na mustakbali wa maisha yao. Na kisha akatoa hotuba ya ya muda mrefu.

Ifuatayo ni sehemu ya hutuba yake ambayo imesimuliwa sana na wapokezi wa hadithi wa Kisunni.

Mistari ifuatayo ilitengenezwa kwa ajili ya kuhadithia tukio husika:

Anawaita, (kuhusiana na) siku ya Ghadir, Mtume wao

Huko Khum hivyo Sikizeni (na kutii) wito wa Mtume,

Alisema: “Ni nani Muongozo na kiongozi wenu (mawlakum wa waliyyukum)?”

Wakajibu, bila kigugumizi na upofu (waziwazi):

“Mungu wako, mwongozo wetu, na wewe ni kiongozi wetu

Na huwezi kupata kutoka kwetu, katika hili, ukaidi wowote,”

Naye akamwambia: “Simama Oh ‘ Ali, kwa taadhima

Nakutangaza wewe Imamu na kiongozi baada yangu (min ba’di imam (an) wa hadiy (an)),

Hivyo yeyote yule ambaye mimi ni kiongozi wake (mawla), basi huyu ni kiongozi wake (mawla)

Hivyo kuweni waisidizi wake na wafuasi wake wa kweli”

Hapo akaomba dua: “Mwenyezi Mungu Kuwa rafiki na mwongozo kwa wafuasi wake!

Na kuwa Adui, na ambaye ni adui wa Ali,”

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 23, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: