- Maulana Sheikh Hemedi Jalala akihutubia waumini
- Maulana Sheikh Hemedi Jalala
- Watoto katika Eid Ghadir
- Watoto wakifurahia Chakula
- Sheikh Mkuu wa TIC Sheikh Abdallah Seif
- Aliyevaa Suti Balozi wa Irani akila kiapo cha Utii kwa Imam Mahd
- Maulana Sheikh Jalala akimpokea Mwakilishi wa Kitengo cha Utamaduni wa Iran Ndugu Saburi.
- Waumini wakishiri katika Mlo wa pamoja
- Waumini wakishiri katika Mlo wa pamoja
- Baadhi ya Waumini wakifajika kwa Mlo wa Eid Ghadir
- Vijana wakisikiliza kwa Makini Khutuba mbalimbali
- Waumini wakimsikiliza kwa makini maulana Sheikh Hemedi Jalala
- Kutoka kulia Sheikh Mohamed Abdu (Naibu mudir hawza ImamSwadiq) na Sheikh Ghawth Nyambwa
- Mabinti walioshiriki katika Sherehe za Eid Ghadir Khum
- Na watoto nao walikuwa wakifuatilia Hutoba kwa Umakini
- Sehemu ya Wanawake walioshiriki katika Sherehe za Eid el Ghadir
- Watoto walipamba mazingira ya Eid El ghadir
- Madhari ya Msikiti Ghadir uliopo Kigogo
- Baadhi ya Wageni walioshiriki katika Eid el ghadir
- Balozi wa Iran akitoa Salamu za Serekali ya Mapinduzi ya Iran
- Sehemu ya wanawake walioshiriki
- Waumini ndani ya Msikiti
- Vijana wa Kasida wakitumbuiza waumini
- Vijana wa hawza Imam Swadiq
- Masheikh wakifuatilia Ratiba za Sikuku ya Eid Ghadir
- Vijana wa Hawza Imam Swadiq
- Waumini mbalimbali waliojitokeza katika Eid
- Sehemu ya waumini wakifuatilia kwa Makini
- Waumini ndani ya Masjid Ghadir
- Waumini ndani ya Masjid Ghadir
Leave a comment
Comments 0