Imam Ali atoa Sadaka Pete yake.

lvl120131029102824

1)     Ali bin Abli Taalib (as) alitoa pete yake kwa fukara akiwa katika hali ya Rukuu ya “Swala” ndani ya Msikiti wa Mtume. Masahaba wote walikuwa wamekusanyika nyuma ya Mtume Mtukufu. Mtu mmoja Fukara akaja na kuomba wampe chochote. Hakuna mtu yeyote aliyemtia maanani. Kwa kukata tama fukara yule akaamua aendezake, Ni wakati huo Ali (as) aliunyoosha nje mkono wake, fukara yule akauona na kuichukua pete iliyokuwa katika kidole cha Imam Ali.  Masahaba wengine walioshuhudia wakaonyesha shaka juu ya khushui na unyenyekevu wa moyo na akili Wa Imam Ali (as) katika Swala ya Mwenyezi Mungu wakati wa tukio likitokea. Katika kuwajibu Mwenyezi Mungu Mjuzi wa yote mwenye khabari akateremsha tamko hili.

“Hakika Walii (Mtawala) na mlinzi wenu ni Mwenyezi Mungu na Mtume wake na walio amini, ambao husimamisha Sala na hutoa Zaka wakiwa katika Rukuu ﴿ (Ma Idah: 55)”

2)     Baadhi ya wanahistoria wametaja kuwa tukio la Hadith el-Kisaa pia lilitokea siku hiyo hiyo kabla ya Mtume (saw) kutoka kwa ajili ya Mubahila.

3)     Sura Insan (76) au Hal Ata , au Dhar ambayo imerekodi  tukio la Bi Fatima (sa) Hassan na Hussein (as) kutoa Sadaka kwa Yatima, Fukara na Msafiri  ni tukio jingine katika siku ya 25 ya Mwezi wa Zulhijjah.

 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on October 31, 2013, in Habari na Matukio and tagged , , , , , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings