Ujumbe wa Ashura

Siku ya Ashura hutonesha majeraha yetu, na hupelekea macho yetu kububujikwa na machozi kutokana na vipenzi vyetu kuuliwa mashahidi katika ardhi ya Karbala, na kutuweka katika Majonzi na majuto hadi siku ya Hisabu (Kiyama).  Hivyo, huyu ni Husain (a.s.) ambaye watu wapaswa kumlilia (na kuomboleza) kwa kuuliwa shahidi. (Imam Ali Raza (a.s.)).

Sisi na ndugu zetu wote tunakumbuka (mahali hapa) katika siku hizi maalumu za matukio ya Imam Husain (a.s.), pia Mapinduzi ya Kiislamu katika nyanja zote yakiongozwa na Imam Husain (a.s.), Ahlul Bayt wake, Mashaba, Wanamume, Wanawake, Wazee, Vijana na  Watoto kwa upande mmoja na matendo ya kikatili yaliyotendwa na Madhalimu wa mauaji haya kwa upande mwingine.

Tunapenda kuziangalia baadhi ya nukta ili tupate mafunzo kutoka kwenye ujumbe wa Imam Husain (a.s.), uliotikisa utawala wa Madhalimu katika kila zama na kuuhuisha Uislamu kwa faida ya kizazi kijacho.

Ili kupata mafanikio katika wakati huu mambo yafuatayo yapaswa kufuatwa: –

* Kuonyesha majuto na huzuni kufuatana na mwenendo wa Ahlul Bayt (a.s.).   Katika Hadithi yake Imam Raza (a.s.) anasema “Mwanzoni mwa mwezi wa Muharram, baba yangu alikuwa hacheki na alionekana amejawa na huzuni mwezi mzima na ilipowadia siku ya kumi ya Mwezi wa Muharram, siku ya Majonzi, matatizo na maombolezo alisema “ Hii ni siku  ambayo Imam Husain (a.s.) aliuliwa (kikatili)”.

* Kujiandaa na kushiriki katika Aza (maombolezo) ya Imamu Husain (a.s.) katika Misikiti, Husainia, n.k. kwa kuwa matendo haya ni utukufu wa alama za Allah (s.w.t.) kama Qur’ani inavyosema: “Namna hivi, anayeziheshimu alama za (dini ya) Mwenyezi Mungu, basi hilo ni jambo la Utawala (ucha Mungu) wa nyoyo” (Hajj:32).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 4, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: