Karbala ni wapi na Ashura ni lini?

4-b

Huenda umewahi kusikia kauli isemayo “kila siku ni Ashura na kila Ardhi ni Karbala “. Sasa soma kauli zifuatazo na kisha angalia tena kauli hii:

–        Hussein ni nani (A.S.) na Karbala ni wapi? Kwa nini hadithi ya Karbala haizeeki na kuwa hadithi ya zama za kale?

–        Karbala sio tu Mji kati ya miji mingine au Jina tu kati ya majina yote. Karbala ni mkusanyiko wa HAKI na UKWELI na mahali wafuasi wa Imamu Hussein wangeliendea HAKI na UKWELI.

–        Karbala sio tu mji kati ya miji mingine na Ashura sio tu, siku katika siku zingine; Ardhi yote ni Karbala na Karbala ni yenye kutuita sisi.

–        Ni kweli, Karbala ni mji kati ya miji yote na ni jina kati ya majina yote. Kama ilivyo Taa (Mwangaza) japo ni kitu miongoni mwa vitu vingine, Lakini nini kunatofautisha kati ya Taa na vitu vingine, kinachotofautisha ni ‘mwangaza’. Ukweli huo ni sawa kabisa kuhusiana na Karbala. Kinachoutofautisha na miji mingine ni ‘mwangaza’. Ni mwangaza huu ambao huwaita wapenzi wa ukweli na Haki.

–        Machozi husafisha uchafu kutoka katika nyoyo. Hivyo hutoa mwangaza HAKI na KWELI katika Nyoyo na kuzifanya nyoyo kuwa karibu na Ardhi ya Mwenyezi Mungu, ambayo ni Karbala.

–        Karbala ni kipimo cha Mapenzi na hutenganisha kati watu wa Mwenyezi Mungu na wengine.

–        Ni kitu gani kuhusiana na tukio la Ashura cha Ajabu ambacho hujaza roho za watu wake Mapenzi na Maisha ya kudumu? Ni Karbala, Karbala ni Roho ya Historia na Mwale wa Mwangaza  unaomulika nyoyo za watu ambao hawawezi kukana jambo hilo.

–        Ni Ukweli ndio ulio uwawa siku ya Karbala. Kiu ya watu wa Karbala ni kiu ya Haki na kweli; na ndicho Kilichowapeleka peponi. Wao sasa hivi wapo katika pepo wanakunywa kutoka katika mikono ya Hussein (AS).

“Kila siku ni Ashura na kila Ardhi ni Karbala “ ina maana kwamba Karbala ni popote pale mwili wako, utapata majeraha katika kupigania njia ya ukweli na Haki. Wakati wowote penye mapambano kati ya Haki na Batili, ni Ashura.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 5, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: