Siku ya Kwanza ya Mwezi wa Muharramu

lvl120121113070843

Siku kwanza:

a) Swali Rakaa Mbili (2) katika kila Rakaa soma Sura Fatiha  na Sura Ikhlass mara 11 katika kila rakaa.

Swali rakaa zingine Mbili (2); Rakaa ya kwanza Sura Fatihah na Sura – An-aam, Rakaa ya Pili (2) Sura Fatihah & Sura Yasin .

Funga ni jambo lililokokotezwa sana siku ya kwanza ya Mwezi huu kama ilivyoripotiwa na Rayyan bin Shabib kutoka kwa Imam Rida (as)

Osheni (Ogeni) Miili yenu, kwa ajili ya tiba / ulinzi kutokana na Magonjwa. Wakati wa kutaka kuoga Soma dua ifuatayo juu ya maji ya kuogea : –

Ametakasika Mwenyezi Mungu mwenye usawa, Ametakasika Mwenyezi Mungu hatima ya upole, Ametakasika Mwenyezi Mungu Lengo la uchamungu, Ametakasika Mwenyezi Mungu Mwenye kutia uzuri Arshi.

Imesimuliwa kutoka kwa Imam Rida (as) kwamba Mtume alikuwa akiswali rakaa mbili (2) kisha akiinua mikono yake juu na kuomba dua ifuatayo: –

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu

Mwenyezi Mungu wangu , Wewe ni Mola wa milele , huu ni mwanzo wa mwaka mwingine mpya ; hivyo mimi , nakuomba wewe kwa nyakati hizi, , kuniweka mbali na Shetani, kwa kunipa mamlaka juu ya “Nafsi yangu” kuiepusha na dhambi na kupotoka , Ili kwayo inikurubishe karibu yako,

Oh! Mwingi wa rehema!  Eeh Mmiliki wa utukufu na wema! O Msaidizi asiye na msaidizi! Ewe Mtoaji asiyehitajia mtoaji! Ewe Mwenye kuona juu yasiye na ulinzi! Ewe umsaidiaye asiye na matumaini ya Msaada! Ewe hazina ya yule asiye na hazina! Ewe ambaye mjuzi mzuri wa kuweka mitihani na majaribu! Ewe tumaini la mwisho! Ewe nguvu ya walio dhaifu! Ewe mkombozi wa wanaozama! Ewe muokoaji wa wanaozama, Ewe mwenye kuokoa kutoka majanga! Ewe ambaye hugawa neema! Ewe ambaye huonyesha hisani na ukarimu! Ewe mwenye kuhudumia kwa wema na ukarimu! Oh ambaye hutenda kwa neema!

Wewe ni yule ambaye kabla yako, kwa utii vimekuwa vikikusujudia weusi wa usiku na mwangaza wa Mchana, Mwangaza wa mbalamwezi,Miale ya jua, mawimbi ya maji, Magome vya miti! Ewe Mwenyezi Mungu, Hakuna wa kukushirikisha umetakasika!

Ee Mwenyezi Mungu tufanya wakarimu, wema na wenye busara, zaidi ya wanavyoweza kutufikiria au kubashiri, Tusitiri na kusindikize kwa yale wasiyoyajua, na wala (wasiweze) kutuhusisha na wasemacho. Anayenitosha ni Mwenyezi Mungu (kwa ajili yangu), hakuna mungu isipokuwa yeye, Kwake yeye naegemeza matarajio yangu, na Yeye ni Mola wa Arsh kuu.

Tunaamini kwamba yote ni kutoka kwa Mola wetu, na wala hasemi (haya) isipokuwa wale ambao wana mioyo safi na akili timamu. Mola wetu Mlezi! Usizipoteze nafsi zetu baada ya kutuongoa na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye mtoaji.

Moh_dua1

Mwanzo mwa mwezi swali Rakaa 2 katika rakaa ya kwanza Soma sura Fatihah na kisha soma sura Ikhlass mara 30 kisha soma dua ifuatayo;-

  1. Hakuna kiumbe chenye kutembea ardhini ila riziki inategemea kwa Mwenyezi Mungu. Yeye anajua makao yake na mapitio yake. Yote yapo katika Kitabu wazi.
  2. Lau Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana awezae kukuokoa ispokuwa yeye, na akitaka mazuri kwa ajili yako, hapana awezaye kuzuia neema zake. Humneemesha amtakaye katika waja wake. Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
  3. Mwenyezi Mungu atathibitisha, baada ya dhiki faraji. Kila akitakacho Allah (kitatokea)! Hakuna nguvu ila Mwenyezi Mungu! Mwenyezi Mungu anatosha kwa ajili yetu! Mwingi wa rehema ni yeye ambaye ni kwakwe yeye tunatumaini la mwisho! Naelekeza matumaini yangu kwake hakika yeye Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja (wake). hapa nguvu mungu ila kwako. Hakuna wema Ispokuwa kwako wewe ndiye mwenye kutukuzwa hakkak nimekuwa mkosaji. Eeh Mola wangu! Lolote katika kheri utakayo iteremsha kwa ajili yangu , mimi ni masikini, Mola wangu Mlezi! Usiniache mimi peke yangu (Pasina mtoto), ingawa Wewe ni Mbora wa wanaorithi.

Moh_dua2

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 5, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: