Uzuri wa Ashura: Uzuri na Heshima iliyotukuka

lvl120131101024934

 

Imamu Hussein alikwenda Makkah na kukaa huko kwa miezi Minne. Alitembelea makundi tofauti ya watu tofauti na aliandika barua nyingi kwenda Kufa, Basra, na kwa watu binafsi. Alikwenda kuhiji katika Kaaba na kutembelea makaburi ya waliomtangulia, na alikwenda kwenye kaburi la Abuu Talib na alitembelea makaburi ya babu yake Mtume Mtukufu, Abuu Talib (as ), na bibi yake Mtukufu, Khadija (SA). Nakuomba maombi yake pale.

Alipogundua kuhusu njama za Maadui zake, ambao walikuwa wakijaribu kumuua, aliamua kuondoka Makka kama ishara ya heshima yake kwa nyumba tukufu Kaaba. Hii ni heshima ya juu na ya pekee zaidi mtu anaweza kuwa nayo kwa Nyumba ya Mwenyezi Mungu. Imamu Hussein hakutaka kufanya kile Abdullah bin Zubayr alichofanya ambae alijikinga na kaaba kwa kukimbilia katika Kaaba, na kitendo chake hicho alionyesha utovu mkubwa wa nidhamu kwa mahala hapo patakatifu.

Hussein bin Ali (as) alimpa heshima zote Abdullah bin Zubayr na kuwaambia watu, “Ibn Zubayr anataka mimi nikimbilie katika mahala patakatifu, lakini ni bora niwe mbali kabisa na nyumba tukufu ya Mwenyezi Mungu wakati wakati wa kifo changu. Ni afadhali nikafie karibu na Mto Furati, kuliko katika Kaaba.”

Imesemwa pia kwamba Abdullah bin Zubayr alimwambia Imam Hussein (AS) na abakie katika mji wa Makkah ili ajifiche katika Kaaba. Imamu Hussein akamjibu, “Hilo sio jambo sahihi kabisa la kufanya. Sidhani mimi naweza kufanya hivyo. Ni bora kuuawa katika jangwa kuliko hapa Makkah. ”

Pamoja na heshima zote Imamu Hussein alizokuwa nazo kwa nyumba Tukufu ya al-Kaaba , aliondoka na kuicha huku machozi yakimbubujika macho yake .

Alikwenda Karbala, kwa sababu hakutaka mtu yeyote au kitu chochote kuvunja heshima ya al-Kaaba, Nyumba ya Mungu.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 8, 2013, in Habari na Matukio and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: