Karbala na Ashura: Nje ya dhana ya Muda na Wakati!

lvl120131101025050

Ni jinsi gani inawezekana kila Ardhi kuw ni Karbala na kila siku kuwa ni Ashura? Je dhana ya muda na nafasi (Time and Space) hafanyi kazi kwa tukio la Karbala? Bila shaka haina nafasi!  Dhana ya Muda na nafasi ni dhana mtambuka. Haifanyikazi katika hali ya uhalisia.

Karbala ni moyo wa dunia na Ashura ni moyo wa wakati. Kwa maneno mengine, Karbala ni Uhalisia katika Ardhi na Ashura ni uhalisia wa wakati. Hiyo ikimaanisha ni Karbala mahali ambapo njia ya kuelekea mbinguni huanzia na mlango wa dunia halisi  hufunguliwa .

Hakuna suala la muda na nafasi kuhusiana na Karbala. Ili kuifikia Karbala, ni lazima mtu kuishinda nafsi yake, kuyapita matakwa na Matamanio ya kidunia na kwenda zaidi ya Muda na Nafasi; Kwa kuachana na vivutio vya dunia hii na kuondoka. Moyo wa ubinafsi hawezi kuelewa nini maana ya kuwa na mapenzi na mafunzo ya Hussein (AS).

Ashura bado ingali ipo hapa na msafara wa Karbala bado ungali katika njia yake. Msafara huu wa mapenzi Umeyapita mapito ya historia, na kwasababu ya msafara huu basi watu huachana na matamanio ya kidunia.

Miaka mingi imepita tangu kutokea tukio la Ashura, lakini watawala wa dunia hii bado ni watu kama alivyo Yazid. Karbala itabakia hapa hapa kwa muda mrefu endapo tu watu wa Yazid watakuwepo. Vita hivi kati ya Haki na Batili havina mwisho.

Kila Mahali katika Ulimwengu paweza kuwa Karbala na kila siku yaweza kuwa Ashura. Uhalisi wa eneo na na tarehe ni baadhi tu ya viashiria vya tukio kubwa na la kipekee lilitokea, pale ambapo watu wa Mungu kwa hiari zao walitupilia mbali matamanio ya dunia na vivutio vyake, na kujitoa Muhanga kwa chochote walichokuwa nacho kwa ajili ya kupigana kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu na ukweli.

Na hili ndilo linalotofautisha kati ya binadamu na viumbe wengine wote, na kumfanya kuwa ni utambulisho na uthibitisho wa Haki na kweli.

Kwa kuwepo Karbala na Ashura, nje ya mipaka ya muda na nafasi, ni kipimo kwetu sisi kuzihukumu nafsi zetu wenyewe kabla ya kufika Siku ya Kiyama, ili tuweze kutambua kama sisi katika vita hivi tunapambana upande wa Haki na Kweli au Upande wa Batili na Uongo.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on November 10, 2013, in Habari na Matukio and tagged , , , , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: