Bi Rukaiyyah (A.S)

Kulingana na maelezo tofauti tofauti ya kihistoria, Imesimuliwa kuwa kati ya Tarehe 3 na 13 ya Mwezi wa Safar ni siku tunayokumbuka na kuadhimisha kuuawa kwa Bibi  Rukayya Mtoto  wa Imamu Hussein (SA).

Bi Rukayya mtoto wa Imam Hussein akiwa na Umri wa Miaka Minne (4) alifia ndani ya Gereza la Damaskas baada ya familia ya Mtume Muhammad (saw) kutekwa na kufanywa wafungwa baada ya matukio ya Karbala na kuwekwa kizuizini katika gereza la Damaskas.

Siku ya Ashura – siku ya 10 ya Muharram, yeye alitoa mashk yake kwa Abbas (AS) ili kupata maji kwa ajili yake na watoto. Wakati Abbas (AS) alipokwenda kuchota maji, watoto wote walijikusanya kwa Bi Rukayya na vikombe yao vidogo, wakijua kwamba pindi Abbas atakapoleta maji, Bi Rukayya atahakikisha kuwapa maji wao kwanza kabla ya hata yeye kunywa mwenyewe. Pindi Bi Rukayya alipomuona Imam Hussein (AS) akija akiwa ametota damu papo hapo alijua kwamba mjomba wake Abbas ameuwawa.

Kwa kujua kwamba kilio chake kingalimsononesha mama yake, Bi Rukayya (SA) akawa akilia kimya kimya na kwa haraka akifuta machozi yake! Ndani ya gereza mjini Damaskas alikuwa akiwashangaa makundi  ya ndege waliokuwa wakiruka katika viota vyao jua lilipokuwa likizama na kwa sauti ya masononeko akimuuliza Bi Zeinab (SA), “Je, nasi itafika siku turudi nyumbani kwetu kama wale ndege wanavyorudi katika nyumba zao? “

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on December 6, 2013, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: