Balozi wa Iran Tanzania atangaza kuwa Tehran imedhamiria kutoa mafunzo kwa Maafisa wa Jeshi la Tanzania.

Hotuba ya Aqajafari ilikuja baada ya meli ya kivita ya Jeshi la Maji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuondoka kuelekea bahari kuu baada ya kupiga nanga kwa Muda katika ufukwe wa mwambao wa Dar es Salaam. Manuari hiyo ikiwa imebeba zana za kijeshi kama vile Alvand Destoyer na Bushehr logistics-combat vessel.

Balazi alikaribisha na kupongeza kukuwa kwa Mahusiano katika mwelekeo chanya wa upanuzi wa mahusiano baina ya Iran na Tanzania, na alisema Viongozi wa Jeshi wa nchi mbili hizo pia wamekubaliana kwamba Meli za kivita na Mafunzo za Iran ziendelee kufanya ziara mara kwa mara hapa Tanzania.

32_8902220446_L600

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kwa mujibu wa Aqajafari, Viongozi wa Jeshi la Tanzania wamelitaka Jeshi la Iran kubadilishana uzoefu pamoja kutoa Mafunzo ili kuimarisha Uwezo wa Majeshi ya nchi za Afrika Mashariki.

13930325105934725_PhotoL

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Uwezo na nguvu za Iran hasa Vikosi vya Jeshi la Majini ni jambo lisilo na upinzani hata kwa Maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamekiri uwezo huo. Mwezi Septemba 11, 2008 ripoti ya Taasisi ya Elimu ya Washington ya Sera ya Mashariki ya kati (Washington Institute for the Near East Policy) ilisema katika miongo miwili tangu vita ya kupandikizwa ya Iraq dhidi ya Iran, Jamhuri ya Kiislamu imepiga hatua kubwa kiuwezo na Nguvu za Jeshi la Majini na Taifa la Iran liweza kwa mafanikio makubwa ya kipekee kutoa changamoto za Vita dhidi ya Majeshi Makubwa ya Maji duniani.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, jeshi la Maji la Iran limebadilishwa na kuwa Jeshi lenye motisha, Vifaa vya kisasa na Mahiri na vya kutosha, Rasilimali fedha za kutosha na kwa Umahiri mkubwa linadhibiti mhimili mkuu wa njia ya Mafuta duniani, Mlango wa Hormuz.

1393032510593060_PhotoL

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jeshi la Maji la Iran limekuwa likifanya doria za kupambana na uharamia katika Ghuba ya Aden tangu Novemba 2008, wakati maharamia wa kisomali walipovamia meli ya mizigo ya Iran, MV Delight katika pwani ya Yemen.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 16, 2014, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: