SHIKAMANA KIKAMILIFU NA MWENYEZI MUNGU

lvl120140617021741Hii ina maana ya kushikamana na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya ulinzi kutokana na kila aina ya uovu. Uislamu, japo unatutaka sisi kujitahidi katika kujitafutia maisha yetu, vile vile unapendekeza lazima wakati wote kushikamana kikamilifu na Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: “Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi. Ama wale walio muamini Mwenyezi Mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye Njia iliyo nyooka.”
Pia alisema: “Kwa hiyo shikeni Sala na toeni Zaka na shikamaneni na Mwenyezi Mungu; Yeye ndiye Mlinzi wenu; Mlinzi bora kabisa, na Msaidizi bora kabisa!”
Pia alisema: “Na mwenye kushikamana na Mwenyezi Mungu, basi huyo ameongozwa kwa njia ya haki.”
Imam Ali (as) Amiri wa Waumini akasema: “Yeyote atakaye shikamana na Mwenyezi Mungu, Yeye atamuokoa.”
Yeye (as) pia alisema: “yeyote ambaye atashikamana na Mwenyezi Mungu, hakuna shetani anaweza kumdhuru.”
Imam Ja’far al-Sadiq (as) alisema: “Mja yeyote wa Mwenyezi Mungu, ambaye yu makini na kile ambacho Mwenyezi Mungu alimtaka kufanya, Mwenyezi Mungu atakuwa makini na madai yake; na yule atakayeshikamana na Mwenyezi Mungu, atampa Ulinzi; na yeyote aliyemchagua Mwenyezi Mungu kuwa msaidizi wake na mlinzi hatojali chochote, hata kama Anga itaangukia juu ya ardhi, au janga na maafa yatawafika watu. Hivyo atakuwa chini ya ulinzi Mwenyezi Mungu dhidi ya Majanga yote kwa ajili ya ucha Mungu wake; Hakika wale wanaomcha (dhidi ya maovu) wapo katika mahali salama. 1”

* Tafsiri ya kitabu: Living the Right Way (Ishi Maisha yaliyonyooka). cha: Ayatullah Jawad Tehraani


1″ The Qur’an 44:51.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 18, 2014, in Habari na Matukio. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: