Ziara ya Tabligh: Komkonga Handeni Tanga

Picha za msafara wa Tabligh katika kijiji cha komkonga -Handeni -Tanga, ziara iliwakutanisha Masheikh na Mubalighina kutoka Hawza imam swadiq na mamia ya wakaazi wa wilaya ya Handeni siku ya Jumanne na Jumatano ya Tarehe (24, na 25 mwezi wa Sita, 2014). Lengo la ziara ni kuamsha umma wa kiislamu na kuwakumbusha majukumu yao hususani udugu baina yao ushirikiano na kujenga uwezo wa kiuchumi kwa ajili ya kuendesha maesha na dini yetu. Aidha Samahat sheeikh jalala Aliwaasa wakaazi wa Handeni juu ya ubaguzi wa kimadhehebu na kuwataka wote kuwa kitu kimoja dhidi ya Adui anayefaidika kwa utengano wao.

DSC00075

DSC00083

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Sheikh Ghawth Salim Nyambwa akiwaaasa wakaazi wa wilaya ya Handeni

 

 

 

 

 

 


DSC00321

Msafara wa Mubalighina na Masheikh ukiongozwa na Samahati Sheikh Jalala wakiwasili komkonga Handeni Tanga

DSC00326

DSC00405

Kuanzia kulia Sheikh Abdallah Seif, Sheikh Ghawth Nyambwa na Samahati Sheikh Hemedi Jalala

DSC00411

Wanakijiji na wakaazi wa kijiji cha komkonga handeni Tanga wakifuatilia muhadhara kwa umakini mkubwa

DSC00412

Sehemu ya sura za wakaazi vijana watoto kwa wazee waliohudhuria muhadhara

DSC00415 DSC00416 DSC00418

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 27, 2014, in Habari, Media na Rekodi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: