Sheikh Mohammed akutana na kufanya kikao na Hujjatul Islam Sayyid Jawad Shahristan

image

Baada ya ziara yake ya jana 2/2/2015 iliyomkutanisha na Mwanazuoni maarufu duniani Ayatollah Sayed Sadiq Shiraz. Leo Tarehe 3/2/2015 Sheikh Muhammed katika muendelezo wa ziara yake kwa viongozi wakubwa wa Dini amemtembelea na kufanya kikao kizito na Hujjatul Islam Sayyid Jawad Shahristan mwakilishi (Mumathil) wa Marjaa mkubwa duniani Sayyid Ali Hussein Sistani (Iraq).

image

Katika kikao hicho mazungumzo yalijikita zaidi katika taarifa yake sheikh Mohamed aliyoitoa kuhusiana na maendeleo na changamoto za Waislamu Tanzania. Sayyid Jawad kwa upande wake alipata fursa ya kupokea ripoti kamili ya harakati Tanzania hususani harakati zinazofanywa na Hawza Imam Swadiq kigogo, chini ya Uongozi wa Samahat Sheikh Hemedi Jalala.

image

Sayyid Jawad Shahristan alivutiwa sana na Muamko wa Watanzania wazawa kuchukua jukumu zito la kuendesha harakati zao wenyewe kwa uhuru mpana Zaidi na kupongeza hatua zote zinazochukuliwa na Hawza Imamswadiq katika kuiamsha Harakati za kiislamu wa Asili nchini Tanzania. Mwisho Sayyid Jawad Shahristan alipongeza na kuahidi mashirikiano ya karibu na Hawza Imam Swadiq katika kuzikomboa harakati Tanzania.

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on February 3, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: