JESHI LA IRAQ LAFANIKIWA KUDHIBITI ZAIDI ASILIMIA 90 YA MJI WA #TIKRIT

Alhamisi 12/03/2015

Tehran (Fna) – jeshi la Iraq likiungwa mkono na vikosi vya kujitolea zimefanikiwa kusafisha  karibu maeneo yote ya mji wa Tikrit yaliokuwa ngome ya Makundi ya kigaidi ya ISIL/ISIS.

Baraza la Gavana wa Mji wa Salahuddin katika taarifa iliyotolewa Jumatano Alasiri lilitangaza kuwa jeshi Iraq na vikosi vya kujitolea kwa sasa linadhibiti zaidi ya asilimia 90 ya mji wa Tikrit, ikiwa ni pamoja katikati ya viunga vya mji huo.

jeshi la Iraq na vikosi vya usalama viliwafurusha makundi ya magaidi wa ISIL/ISIS kutoka katikati ya mji huo mapema leo.

Jeshi la Iraq limepiga hatua kubwa na mafanikio mapya katika mashambulizi yake makubwa dhidi ya magaidi wa ISIL/ISIS katika mji wa Tikrit, na kuweza kuyadibiti  maeneo mbalimbali mapema siku ya Jumatano. Wanajeshi wa Serikali kwa kushirikiana na vikosi vya kujitolea vya wapiganaji wa Kishia na Sunni viliendelea kupata ushindi zaidi katika vita dhidi ya magaidi ISILISIS ndani ya mji wa Tikrit, na kufanikiwa kukomboa na kudhibiti Miji ya al-Hayakil, al-Diyoum na al-Hay al-Sinayi na kuiweka chini ya udhibiti wao hospitali kuu ya mji huo.

B_0hQF5UYAAzK-A

Jenerali Qassim Suleiman akikagua Askari wa Mstari wa Mbele katika kuukomboa mji wa Tikrit

Kabla ya kuingia Tikrit, askari wa Iraq waliukamata na kudhibiti mji wa Nahyat al-Alam, mji uliopo kilomita chache Kaskazini ya Tikrit, kutoka magaidi wa ISIL/ISIS mapema Jumanne.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 12, 2015, in Habari na Matukio and tagged . Bookmark the permalink. 2 Comments.

  1. JUMA TITO BASHEKA

    aAlhaqu ya’ali wa la yu’ula alayhi. long life to shia

    Like

  2. JUMA TITO BASHEKA

    alhaqu ya’ali wa la yu’ula alayhi. long life to shia

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: