KALENDA YA MATUKIO YA UKOMBOZI WA MJI WA TIKRIT

Jumatano 11/03/2014

Jeshi la Iraq na vikosi vya kujitolea rasmi wameingia na kuuweka chini ya udhibbiti Mji wa Tikrit uliokuwa ngome kuu ya makundi ya Kigaidi ya ISIL.  Vikosi hivyo vya serikali vimekuwa  vikizidisha mashambulizi ya kijeshi kila siku kwa lengo la kurejesha mji wa kaskazini kutoka kwa makundi ya kukufurisha ya ISIL/ISI.

B_4TL_5VEAAOUnz

Jeshi la Iraq na vikosi vya kujitolea vikiwa ndani ya Mji wa Tikriti baada ya kuupokonya kutoka kwa Makundi ya kigaidi ya ISIS/ISIL

Mwandishi wa Habari wa kituo cha Al-Manar huko Iraq akiripoti amesema kuwa Jeshi la Iraq na vikosi vya kujitolea vimeweza kuchukua udhibiti wa al-Hayakel katika eneo la magharibi ya Tikrit, na kusonga zaidi mbele kuelekea katika kitongoji al-Qadisiyah (kilichopo magharibi).

Shirika la habari la AFP lilithibitisha taarifa hizo kuwa Jeshi la Iraq na vikosi vya kujitolea vimeingia na kuudhibiti mji huo, akinukuliwa Jeneral mmoja wa Majeshi ya serikali, ambaye alisema kwamba “Tunapambana kusafisha vitongoji vya Qadisiyah” katika mji wa Tikrit.

B_Y9tQRUcAAwVz1

Eneo la Hospitali kuu ya Tikrit lililokombolewa kutoka kwa Makundi ya Kigaidi ya ISIS/ISIL

 “Tumefanikiwa kudhibiti hospitali ya kijeshi ya Mji wa Tikrit, ambayo ipo katikati ya mji,” na karibu ya kitongoji alipozaliwa kiongozi dikteta aliyenyongwa Saddam Hussein, alisema jenerali huyo kwa masharti ya kutotajwa.

Operesheni ya kuukomboa mji wa Tikriti ulianza mapema Jumatano kwa kutanguliwa na makombora ya awali kutoka katika vifaru na Ndege za kivita za jeshi la Iraq.

Jeshi la Iraq na vikosi vya kujitolea wamekuwa wakishiriki katika operesheni kubwa katika jimbo Salahuddin, ambapo mji wa Tikrit ndio makao makuu yake. Operesheni hii inalenga kuwafurusha Makundi ya kigaidi na yenye kukufurisha ya ISIL, nje ya jimbo hilo.


 

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 12, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: