KAULIMBIU YA “SISI TUNAWEZA” IONYESHWE KIVITENDO KWA WANANCHI

40470_519 (1)Hotuba iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei katika kikao cha wanachama wa kamati ya maandalizi ya Siku ya Taifa ya Wahandisi hapo tarehe 6/11/93 Hijria Shamsia (26 Januari 2015) ilisambazwa leo asubuhi katika kongamano lililofanyika kwenye ukumbi wa Mnara wa Milad mjini Tehran.

Katika kikao hicho Ayatullah Khamenei aliashiria uwanja mpana wa kazi za kihandisi na mchango mkubwa wa wahandisi vijana katika vipindi  mbalimbali na akasema: Katika kipindi cha vita vya kujitetea kutakatifu (vita vilivyoanzishwa na Saddam Hussein wa Iraq dhidi ya Iran) wahandisi wetu walikuwa askari waliosabilia nafsi zao na walitumia nguvu, sanaa na bongo zao zote na kubuni vitu vipya kila siku.

Amezitaja juhudi na matunda ya kisayansi ya wahandisi hapa nchini baada ya vita vya kujitetea kutakatifu na pia mahudhurio yao katika nafasi nyeti kuwa ni jambo muhimu na akasisitiza kuwa: Inabidi mfanye jitihada kubwa kuhakikisha kwamba kaulimbiu ya “Sisi Tunaweza” inaoneshwa kwa wananchi kivitendo. Vilevile ametilia mkazo suala la kutambua mapungufu na mahitaji ya nchi na kufanya kazi ambazo hazijatekelezwa.

40466_527Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia pia madhara ya uingizaji wa bidhaa kiholela hapa nchini na vilevile magendo na akasema: Hii leo mashinikizo ya uingizaji wa bidhaa kutoka nje unaiumiza nchi na kunatolewa takwimu za kustaajabisha kuhusu kiwango cha bidhaa zinazoingizwa nchini kwa njia za magendo. Hata hivyo amesisitiza kuwa, si jambo la kimantiki pia kufungua rasmi njia ya kuingiza bidhaa kwa wingi nchini kwa kisingizio cha kuzuia magendo na kupata faida ya ushuru wa forodha.

Amewaambia wahandisi hapa nchini kwamba: Fanyeni bidii ili matunda na bidhaa za vijana wenye vipawa, waumini na bingwa hapa nchini zisimezwe na bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.

Ayatullah Ali Khamenei ameashiria matamshi ya katibu wa kikao hicho kuhusu uchumi wa kimapambano na kukaririwa sana jambo hilo katika hotuba za maafisa wa serikali na wanaharakati wa nyanja mbalimbali na akasema: Kukariri maneno matupu hakuwezi kufua dafu bali jambo hilo linapaswa kuchunguzwa ipasavyo katika Bunge na Serikali na kuangalia nini kimefanyika kuhusu uchumi wa kimapambano na nini kinapaswa kufanyika.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 12, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. JUMA TITO BASHEKA

    MAULAYA SHEIKH JALALA AMENIFANYA NIKUMBUKE MANENE YA RAHIYL AYATOLLAH AL’KHOMEINII”NAMSHI BI AQDAMINA WA NAAKULU KHUBUZA SHA’IRANA HATA NASWILU ILA IKTIFAIDHATIY”HAWA NDO VIONGOZI WATANZANIA NA ULIMWENGU MKO WAPI?KIONGOZI ANATOA MUONGOZO.LABAYKA YA KHAMENEI NA NIKIWA MTANZANIA BASI PIA LABAYKA YA JALALA

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: