AYYAAM FAATWIMIYAT
Katika kuziadhimisha siku ya kifo cha binti pekee wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) bi Fatma (as), Uongozi wa Hawzat Imam Sadiq- Kigogo -Dar es salaam, ulifanya ziara, katika kituo cha Madrasat Zahraa, kilichopo #Mbande-#Dar es salaam, pamoja na kufanya Majlis ya bi Batmat (as).
Maulana Sheikh Hemedi Jalala, aliwataka Waislaam kuisoma historia sahihi na kumjua Binti huyu mtukufu wa Mtume, ni yapi masahibu makubwa yalompata? na watu wafikirie na kutengua kitendawili kwanini bint huyu wa Mtume (s.a.w.w) aache usia kuwa azikwe kwa Usiri na kaburi lake lisijulikane lilipo hadi hii leo?
Watoto wanaolelewa na kusoma katika kituo Zahraa Mbande.
Picha ya pamoja ya viongozi na wanaharakati walioshiriki katika ziara.
Baadhi ya sura za kina mama walezi wa kituo na walioambatana na Msafara wa Samahat Sheikh Hemedi Jalala.
Baadhi ya wanaharakati na masheikh walioshiriki katika ziara.
Posted on March 17, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.
Leave a comment
Comments 0