KUMBUKUMBU YA KIFO BI FATUMA ZAHRAA (AS)

image

Sheikh Abdullatif akisoma Majlisi ya Bi Fatuma Zahraa (as)

Sheikh  Abdullatwif Issa Swalehe akimlilia Bibi Fatma zahraa.

21/03/2015 Hawza Imamswadiq ikiungana na Wapenzi wote wa Nyumba ya Mtume (saww) Duniani ilifanya Majlisi Maalumu ya kukumbuka Kifo cha bint pekee wa Mtume Muhammad (saww)  Bi Fatma Zahraa (as). Majlisi hiyo ilisomwa na Sheikh Abdullatif akipokezana na Sheikh Qassimu Ruvakure. Aidha sambamba na Majilisi hiyo kikundi maalumu cha watunzi na waimbaji wa Maatamu kiliyahadithia Masahibu ya Bibi Fatma kwa njia ya Mashairi na Maatamu. Majlisi ilihudhuriwa na Sheikh Mohamed  Abdi naibu Imam wa Msikiyi wa Ghadir Kigogo. Tarehe 13 Jamadi Awwal kwa mujibu wa mapokezi ya baadhi ya wanahistoria ndiyo siku aliyouliwa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Fatimatu Zahra (as). Bibi Fatima al Zahra (as) ni binti ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw) na Bibi Khadija bint Khuwailid, mke kipenzi wa Mtume na mtoto wa nne wa kike wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya lakabu zake ni al Zahra, Siddiqa, Twahira, Mubarakah, Zakiyyah, Raadhiyah, Mardhiyya, Muhaddathah na Batul.
Baada ya kuaga dunia baba yake yaani Mtume Muhammad (saw), Bibi Fatima (as) na Ahlubaiti wa Mtume kwa ujumla walipatwa na masaibu makubwa mno. Hatimaye Bibi huyo mwema ambaye kwa mujibu wa hadithi sahihi ya Mtume Muhammad (saw) ni ‘Mbora wa wanawake duniani’ alikufa shahidi tarehe 13 Jamadil Awwal mwaka 11 Hijria kwa mujibu wa mapokezi ya baadhi ya wanahistoria akiwa na umri wa miaka 18 tu kwa mujibu wa nukuu mashuhuri zaidi. Aliswaliwa kwa siri na kundi dogo la maumini na kuzikwa usiku wa manane kwa mujibu wasia wake ambapo alitaka watu waliomdhulumu wasishuhudie jeneza na mazishi yake. Bi Fatma alifariki huku Mwanae Kipenzi Imam Hassan (as) akowa na Umri wa Miaka Saba (7), Imam Hussein (as) miaka Sita (6), Zainabu miaka Mitano (5) na Ummukulthum miaka Mitatu (3).
Sala za salamu za Mwenyezi Mungu, Malaika, na Mitume wake zimshukie Bibi Fatima al Zahra.

image

image

image

Kikundi maalumu cha watunzi wa Maatamu kiliyahadithia Masahibu ya Bibi Fatma kwa njia ya Mashairi na Maatamu.

image

image

image

Baadhi ya sura za kinamama na Mabinti waliojumuika katika Maombolezo ya kifo cha Bi fatma Zahraa.

image

image

Kutoka Kulia aliyeinama ni Sheikh Ghawth  Salim Nyambwa Mmoja wa Wasaidizi wa Samahat Sheikh Jalal, Katikati ni Sheikh Mohammed Abdi naibu imam wa Msikiti wa Ghadir Kigogo,  na Sheikh Qassimu Ruvakure.

image

image

Watoto wakionyesha Sura za Masikitiko katika kumbukumbu ya Kifo cha Bint pekee wa Mtume.

image

Vijana wakipaza Sauti zao kumlilia na kuombileza msiba wa Bi Fatma

image

image

image

image

Sheikh Abdullatwif Issa Swalehe akiongoza Maatamu maalumu ya Masaibu ya Bi Fatuma Zahraa (as)

image

Sheikh Qassimu Ruvakure akihutubia katika Majlisi ya kumbukumbu ya kifo cha Bi Fatma Zahraa ( as )

Sheikh  Qassimu Ruvakure akihutubia katika Majlisi ya kumbukumbu ya kifo cha binti pekee wa Mtume Muhammad ( saww ) Bi Fatma Zahraa (as)

image

Vijana wakisoma Mashairi ya kiomboleza kufa kwa Bi fatma zahraa.
Uongozi wa Hawza Imam Swadiq unatoa Mkono wa Rambi rambi kwa waislamu wote duniani kwa Masahibu na Kifo cha Binti Mtukufu Fatumat Zahraa (as).

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 22, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: