SHEIKH JALALA MUALIKWA MKUTANO WA RAISI NA VIONGOZI WA DINI

MKUTANO ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MWL: JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, TAREHE  28/3/2015
MGENI RASMI: RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH: DK   JAKAYA  MRISHO  KIKWETE.
Akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo ya amani, Mh Rais alisema anasikitishwa na matamko yanayotolewa na baadhi ya viongozi wa dini, kuwataka waumini kuipigia kura ya hapana, katiba pendekezwa, kwa sababu eti serikali imeikubali mahakama ya kadhi! akilitolea ufafanuzi kuhusu mahakama ya kadhi Mh Rais alisema: kilichopelekwa bungeni ni muswada wa kutambua maamuzi yatakayofanywa na kadhi wa Wilaya na Mikoa na wala si kuianzisha.
“serikali haitaianzisha na wala haitaiendesha, Waislaam wenyewe ndio wenye jukumu la kuianzisha na kuiendesha, tumeelewana nao hivyo” alisema sheria ya mahakama ya kadhi ilikuwepo, kipindi cha Muingereza  kulikua na maliwali walisimamia ndoa, talaka, mirathi na wakfu hata kabla ya uhuru, sheria ya mwaka 1961 kifungu 10c. Sheria ya ndoa ya mwaka 1963,1964, na 1971. “kilichofanyika nikuyawekea sheria ya kuyatambua ili yafanyike kwa utaratibu  mzuri na yatakapofanyika yawe ni maamuzi halali, na wala hayatahusu maswala ya makosa ya jinai.
Alisema: sioni sababu ya kupandikizwa chuki, baina ya Waislaam na wasiokua waislaam, baina ya Wakristu na chama cha mapinduzi.
Mwisho Mh. Rais aliwapongeza wajumbe wa kamati ya amani, kwa kazi wanayoifanya ya kuienzi amani, na kujumuika viongozi wa dini pamoja katika vikao vyao, alisema” tunawategemea, mfano wenu mzuri wa kuigwa, mnakaa, mnazungumza, watu wanaozungumza hawagombani”. ni utaratibu mzuri, mungu awe nanyi, na jambo hili jema liweze kuendelea. Taifa lipo katika kipindi kigumu kuelekea katika uchaguzi, nyinyi ndio tunaowategemea, kwenye kamati yenu tusaidiane kueneza amani ili nchi yetu tuiepushe kuingia katika mifarakano ya kidini, asanteni sana” .alimaliza Mh Rais.

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on March 31, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: