SHEIKH JALALA AKEMEA MAUJI NA UTEKAJI WA CHUO KIKUU CHA GARISA KENYA

4/4/2015:

Leo Maulana Sheikh Jalala akoongozana na Masheikh na wanaharakati mbalimbali kutoka Hawza Imam Swadiq Kogogo amealikwa kama mgeni wa heshima katika hafla ya Mawlid ya kukumbuka kuzaliwa MtumeMuhammad(saww) iliyofanyika katika eneo la Kibaha Mwanalugali, katika Msikiti wa Sheikh wa Mkoa wa Pwani Sheikh Hamis mtupa.
Mawlana sheikh Jalala kiwahutubia mamia ya Waumini walishirika katika hafla hiyo alizungumzia kwa kirefu dhana ya Amani Udugu na Upendo iliyopo katika Uislaam. Na kuanisha wazi kuwa tofauti na Dini zingine jina tu la Uislamu linamaanisha ni dini ya Amani. Sambamba na Amani Sheikh  alotumia fursa hiyo kukemea kwa ukali mkubwa tukio la mauaji yaliyotokea Nchi ya Jirani ya Kenya katika Chuo kikuu cha Garisa, na kugharimu Maisha ya Watu takriban 148 wengi wao wakiwa ni Wanafunzi wasio na hatia. Alisema …. “huu ni Unyama na Ukatili ulopita mpaka ni Vitendo vya Kigaidi na ni jambo la kulaaniwa na kila Muislamu, kwani vitendo hivi vinafanya kwa lengo la kuchafua nuru ya Amani ya uislaam”. Aidha alisisitiza kuwa uislamu zaidi ya kuwa dini ya Amani pia ni dini pekee inayotambua na kuzilinda haki za binaadamu, Sheikh alibainisha kuwa hakuna haki ya Msingi na ya mwanzo kupewa kipaumbele katika uislamu kama haki ya kuishi.
“Uislaam unatambua uwepo wa dini zingine na ndio Maana Mwenyezi Mungu akasema nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu, na mtume aliishi na watu wadini zingine madina bila muvunja haki zao au kumwaga damu zao bila ya haki. Mwisho Mawlana sheikh Jalala aliwatahadharisha Waislaamu kuwa macho na kujitenga Makundi yanayoibuka na kutoa fatwa zenye Kuwakufurisha na kuruhusu Kuwaua watu wasio na hatia, na kuwakumbusha Waislaam kuwa wamekaa na wasio waislam kwa usalama na maelewano kwa miaka mingi akawataka maelewano hayo yaendelee kwani ndio uislamu sahihi na wa Asili wa MtumeMuhammad (saww).
Hafla hiyo pia ilihidhuruwa na Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhadi Musa

image

image

Mawlana Sheikh Hemedi Jalala akihutubia katika hafla ya Maulidi.

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on April 4, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: