TUWASAIDIE WAHANGA WA MAFURIKO

TUWASAIDIE  WAHANGA  WA MAFURIKO

DpGK3V

Maulana Sheikh Hemedi Jalala: Imam wa Masjid Ghadiir Kigogo Post-Dar es salaam

Katika khutba ya leo ijumaa tarehe 8/5/2015, katika masjid Ghadiir –kigogo Dar es salaam, Maulana sheikh Hemedi Jalala amewataka waislaam, waumini na jamii  kwa ujumla, kuwasaidia na kuwaenzi  watu waliokumbwa na mafuriko, alisema:          ” sehemu kubwa ya Jiji la Dar es salaam limekumbwa na mafuriko na mvua kubwa, zilizosababisha baadhi ya watu kupoteza maisha na wengine kukosa makazi na malazi, ni wajibu wetu kuwasaidia , kwa sababu ni ndugu zetu,na jamaaa zetu,  tufahamu yakua tukio lolote linalotokea duniani  lina maagizo ya  mwenyezi mungu”.

IMG-20150508-WA0008

Athari za mafuriko: baadhi ya wakazi wakitoa maji katika nyumba zao

Maulana aliendelea kusema, “kuwasaidia waliopatwa na matatizo ni katika ibada, ibada ni tukio lolote linalomkurubisha mtu na mungu, kuondoa adha, miba, chupa, misumari njiani, ni ibada , navilevile kuwasaidia, kuwapa pole, kuwatembelea na kutoa misaada ya kihali na mali na kuwafariji ni ibada kubwa.ukitambua kuna mtu anamatatizo, shida , mitihani, fanya  haraka kuyatatua matatizo yake, kwani mwenyezi mungu ana sema fanyeni haraka kutaka msamaha wa mwenyezi mungu.”

IMG-20150508-WA0018

athari ya mafuriko:baadhi ya nyumba za watu zikiwa zimezingirwa na maji

Jamii iliyo na sifa ya kwasaidia watu ni jamii njema, nahata kama wataondoka duniani jamii hiyo au watu hao, itakumbukwa kwa wema wao, akitolea mfano watu wanaokumbukwa na jamii zao  kwa ambo walizozifanyia, alisema” mfano wa  Nelson Mandela, na waengineo, kuwa jamii zao zitaendelea kuwakumbuka kutokana na mchango wake katika jamii.”

Akitolea ufafanuzi suala la misaada gani inayotakikana, alisema,Misaada inayotakikana kwa wahanga wa mafuriko ni:kuwaenzi, kuhisi kua tatizo hilo ni letu,inabidi kuwasiliana nao,kuwatembelea, “leo hii wenzetu wana siku mbili hawajapata usingizi, chakula  hawana, vyombo vyao vimepotea, mavazi yao yameroa na maji,moto hauwaki,wanahitajia kuenziwa, kupelekewa misaada, chakula na mavazi na kuwapa pole.Ni wajibu wetu kuwatembelea, na kuwapa pole,wenzetu na kuwaombea subira, waumini ni wale ambao wanaopatwa na matatizo husema , sisi ni wamwenyezi mungu na kwake tutarejea.

IMG-20150508-WA0017

mwisho: Maulana Sheikh Hemedi Jalala, aliwapongeza kamati ya khoja shia ithaasheria , ambayo katika mafuriko yaliyotokea mwaka jana walitoa msaada mkubwa kwa wahanga wa mafuriko hapa kigogo, na akawataka jamii ya waislaam, na watu wote  kwa ujumla kuiga utamaduni huo, kwani mtume (s.a.w.w) alikua ni nambari moja katika kuwajulia hali watu na maswahaba zake wanapopatwa na matatizo, kwa kutolea mfano swahaba mtukufu Ammar bin Yaasir, alipouawa mama yake bi sumayya mtume (s.a.w.w.) aliwatembelea nakuwaambia wasubiri , hakika wanaosubiri makazi yao ni peponi.

Hivyo akawataka waislaam, kufuata mafundisho hayo ya mtume (s.a.w.w),kwani huo ndio uislaam wa kweli.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on May 8, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. salam alaikom. it is a great pleasure to visit your blog. May Allah helps you.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: