UMUHIMU WA NDOA KATIKA JAMII

vlcsnap-2015-05-15-07h13m35s248Katika khutba ya ijumaa iliyotolewa leo, katika masjid Ghadiir kigogo Post- Dar es alaam, Shk Said Otmani alizungumzia umuhimu wa ndoa katika jamii, alisema : ndoa ni ibada na ni ndio Taasisi muhimu katika jamii, hivyo inabidi kuenziwa na kuheshimiwa, kutoka katika ndoa, kukinga uharibifu na kutotokea kwa k watoto wa wasio halali

Akayataja malengo ya ndoa . kua ni

1: kupata utulivu. Kama alivyosema mwenyezi Mungu katika surat Nuur    nakatika alama za kuwepo mwenyezi Mungu, nikukuumbieni kutokana na nafsi zenupea mbili. (mwanmke na mwanmume) ili mpate utulivu.

2: lengo la pili. Ni vazi . kama alivyosema mwenyezi mungu, katika surat baqarat: (2: 187): wao ni vazi kwenu na nyinyi ni vazi kwao. Aktaja faida za vazi kua vazi linamsitiri mtu, linampendezesha mtu, na ni kinga kwa mtu kwa joto na baridi.

“ Kama vile mtu anatumia muda kutafuta vazi zuri vile vile kwa watakao kuoa watumie muda mmingi kutafuta mtu atkae kua mwenza katika Taasisi hiyo muhimu, ili isije kuharibika na kuvunjika mapema” akawataka watu waifate hadithi ya mtume (s.a.w.w.) aliyosema, atakapowajilia mtu mnayependezwa nae kwa dini yake na tabia yake , basi muozesheni, msipofanya hivyo, kutatokea fitna na uharibifu mkubwa katika jamii. : dini iwe ni kipaumbele chakwanza na uzuri uwe ni sifa ya mwisho, kwani mtu akimuoa mwanamkw kwa sababu ya uzuri, ipo siku utaondoka uzuri huo, kwa uzee, au kwa ajali, na itakua sababu ya kuachana, lakini kama atamuo kwa sababu ya dini, dini atabaki nayo milele kama ataienzi.

vlcsnap-2015-05-15-07h12m40s243: lengo la tatu ni kwa kupatikana kizazi cha halali, ndoa inasababisha wapatikane watoto wa halali, isio ka ndoa watapatikana watoto wa mitaani na panya road, nawatoto ombaomba.

Mwisho Sheikh Said aliwaasa vijana kufanya haraka kuoa, wasihofie ufaqiri,kwani hiyo ni dhana mbaya kwa mwenyezi Mungu(s.w.) .kwani mwenyezi Mungu (s.w) amewapa uhakika mafaqiri kwa kuwaongezea Riziki pindi watakapo oa, pale aliposema katika surat Nuur aya (24 ya 32): mkiwa ni mafaqir mwenyezi mungu atakunjulieni kipato.”
Nani mwenye maneno ya kweli kuliko mwenyezi mungu? Kwa hiyo vijana waache woga.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on May 15, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: