DSC00338                                                 KUTAFUTA ELIMU LIWE NI JUKUMU LA KWANZA
Katika maadhimisho ya siku ya biithat, mtume (s.a.w.w)( kupewa utume) na siku ya safari ya Miiraji,Yaliyofanyika katika masjidul Ghadiir kigogo, Dar es salaam, Sheikh Ghawth Salim Nyambwa, alisema: Maandalizi ya utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.) yaliandaliwa na mwenyezi mungu,(s.w) na ndio maana nuru ya mtume ilikua ikihama hama kutoka katika migongo ya watu watoharifu, na mtume (s.a.w.w) alikua akijijua kua yeye ni mtume na kazi yake ni ipi katika jamii yake,na siku aliyopewa utume ilikua ni siku ya kutawadhwa rasmi na kukabidhiwa majukumu.
“ Jukumu la kwanza alilokabidhiwa mtume (s.a.w.w) ni kusoma, aliambiwa Iqraa, soma elimu yeyote itakayokua na manufaa kwako na jamii yako,” akawataka waislaam, kuienzi siku hii kwa elimu, kuhakikisha sisi na watoto wetu tunasoma, “inaasikitisha kuona mtu nyumbani kwake hata kitabu kimoja hana cha kukisoma.”
DSC00361DSC00280Akilielezea Tukio la safari ya Miiraj, Sheikh Abdullatwifu Swaleh, alisema :ilikua ni safari ya kuoneshwa kila kitu kwa uhalisia wake. Kuonana na mitume wote,kumuona Jibriil (as) kwa uhalisia wake, kuoneshwa aina za adhabu za moto na aina za pepo, na kukabidhiwa swala tano.yote hayo ni kuonesha utukufu wa mtume Muhammad (s.a.w.w).
Akawaasa waislaam, kuzienzi na kuziswali swala Tano za kila siku, kwani ni Ibada pekee iliyokwenda kuchukuliwa mbinguni.” Wale wanaojua utukufu wa swala wanazitekeleza kwa wakati wake na unyenyekevu wa hali ya juu ili swala tano ziwe na athar inabidi zibakie katika uhalisia wake, kama vile amri imeletwa leo”.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on May 16, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: