ZIARA YA UMOJA-IBADHI DSM

                                                            ZIARA YA UMOJA-IBADHI DSM.

DSC02041

maulana Sheikh Hemed Jalala, akizungumza na waumini wa msikiti wa Ibadhi-Dar es salaam.

Katika masiku ya  kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa imam wa zama hizi Imam Mahdii (as) uongozi wa Hawzat imam swadiq  chini ya Maulana Sheikh Hemed Jalala, ulifanya Ziara katika msikiti wa IBADHI  uliopo Kisutu-Dar es salaam.

DSC02055

baadhi ya waumini katika msikiti wa Ibadhi.

Katika khutba yake, Maulana Sheikh Jalala alizungumza na waumini wa msikiti huo, alizungumzia umuhimu wa umoja na mshikamano kwa jamii ya waislaam. Alisema, maimam wa misikiti, makhatwib  wanapaswa kua kitu kimoja na kuacha tofauti zao, watakapofanya hivyo, hayo yataleta matunda na kubadilisha Dunia ya leo.” Dawa ya kutibu matatizo mengi yanayowakabili waislaam ni umoja, jamii iliyokubali kusahau tofauti ndogondogo na ikaangalia jambo kubwa linalowakusanya na kuwaunganisha, lazima itapiga hatua kubwa na watu hao kusonga mbele”

Maulana sheikh Jalala aliwataka waumin waangalie wapinzani wa uislaam, namna wanavyosonga mbele.

DSC02071

masheikh na waumini na viongozi wa Msikiti wa Ibadhi, wakisalimiana, mara baada ya swala.

DSC02054DSC02068Mwisho akawaasa waumini juu ya hatari ya kukufurishana, kua hilo litatugawa nakutuletea uadui kwa jamii, la muhimu kukaa pamoja na kuzungumza yanayotukabili,na moja ya chombo cha kutengeneza umoja ni kutembeleana, na waislaam watawashinda maaduai watakapo kua wamoja.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 3, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: