Msafara wa Tabligh Mkoani Arusha-Sehemu ya Kwanza

Msafara wa Tabligh kutoka chuo cha Dini cha Imam Swadiq (as) Kigogo, Dar es salaam ukiongozwa na Mawlana Sheikh Hemedi Jalala na Wasaidizi wake Sheikh Mohammed Abdi Mbwana na Sheikh Ghawth  Salim Nyambwa pia akiwepo Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) Sheikh Abdalla Seif Jana umewasili mkoani Arusha kwa ziara ya Tabligh ya siku nne (4). Katika Ziara hiyo Msafara unategemea; Kuhudhuria hafla ya ufinguzi wa Chuo cha dini cha ABC huko eneo la Njiro, Aidha shughuli zingine za Tabligh ni pamoja na kutembelea masheikh wakubwa wa kisunni na Kishia mkoani hapo, Kuzuru mosikiti mbalimbali na kutoa Mawaidha, Kufanya mikutano ya Hadhara, Kutembelea vituo vinavyoendeshwa chini ya usimamizi wa sheikh Jalala nk.
SEHEMU YA KWANZA
Mawlana Sheikh Jalala na Msafara wa Tabligh wakiwasili katika Chuo cha dini cha ABC kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Ufunguzi wa Majengo mapya ya Chuo hicho.

image

Wageni mbalimbali waalikwa wakijumuika pamoja katika sherehe za Ufunguzi wa Majengo Mapya ya chuo cha dini cha ABC Arusha.

image

Baadhi ya sura za wanafunzi wa chuo hicho

image

image

image

image

Muonekano wa juu wa Majengo mapya ya chuo hicho

image

image

image

….Tutaendelea kuwaletea habari na Matukio katika picha ya Msafara wa Tabligh Mkoani Arusha.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 6, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Mashaallah

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: