Tabligh Mkoani Arusha: Mawalana Jalala Ahutubia Msikiti wa Bondeni- Sehemu ya 3

6/6/2015: Sehemu ya Tatu.

image

Baada ya kumalizika shughuli za ufunguzi wa Chuo cha ABC. Msafara wa Mawlana uliingia katika Shughuli ya Pili kwa kutembelea Msikiti wa Bondeni. Maarufu kwa jina msikiti wa Sheikh Shabani. Hapa mawalana alizungumza na Mamia ya waumini waliokuwa wakimsubiria. Mawlana alizungumzia kwa kina matatizo yanayoikumba dunia leo hii hususano tisho la makundi yenye kukufurisha.

image

Aidha sehemu nyingine aliwataka waislamu kuamka na kushika hatamu za uchumi na Maendeleo akiuliza kwa mshangao mawlana aliulisema iweje leo Waislamu ambao walitakiwa kuwa na vyuo vikuu nchi nzima leo wanaridhika na chuo kimoja tena cha kupewa. Leo waislamu hawana hospitali hata moja mkoani Arusha na mikoa mingine hali ndio hivyo hivyo. Alisema kwa mshangao mkubwa.

image

image

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 6, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: