TABLIGH MKOANI ARUSHA: SHEIKH SAID AZUNGUMZA SIKITI WA UNGA LIMITED

image

Katika muendelezo wa Ziara ya Tabligh Msafara umeswali swala ya Magharibi katika Msikiti wa Unga Limited ulio chini ya Sheikh Ayubu Hussein. Akihutubia Katika Msikiti huo Sheikh Saidi  amesema Mwenyezi Mungu amemtukuza binaadam, usijidharau, unaweza kufanya makubwa, cha kukifanya ni kujiamini kuwa tunaweza.

Akifafanua rofauti za binaadamu katika uumbaji alisema “Watu wapo sampuli mbili Ima ni ndugu yako katika Imani au mwenzako ktk maumbile, utaheshimiwa na kupigiwa mfano ikiwa tutaishi vizuri na wasio Waislaam, jirani yako mkirimu ni mwenzako ktk maumbile, kwani imethibiti kuwa Mtume alimtembelea mgonjwa yahud, aliemwekea kinyesi mlangoni kwake,
Yatupasa kubadilisha mitizamo yetu alisisitiza Sheikh Saidi, nikuikabili vita ya nafsi, mabadiliko kwanza huanza ktk nafsi, na Mwezi wa Ramadhan ni chuo muhimu cha kulea nafsi, ndani yake kuna masomo lau watu tutayazingatia tutafanikiwa sana katika kuzitakasa nafsi.

image

image

Baada ya kumalizika khutuba Jopo lililoongozana na Sheikh Jalala likapata fursa ya kukaa na kujadiliana na uongozi wa Msikiti juu ya changamoto mbalimbali zinazoukabili Uislamu.

image

image

image

image

Imam wa Msikiti Sheikh Ayubu Hussein akimkaribisha Sheikh Jalala katika Mimbar ya Msikiti wake

image

image

image

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 6, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: