SIKU YA 2: MAWLANA ATEMBELEA MISIKITI NA NYUMBA ZA WAUMINI MKOANI ARUSHA

Siku iliendelea kwa Msafara wa Tabligh kufanya Ziara nyumbani kwa bwana Ghulam Mukhtari mmoja wa Waumini wa Madhehebu  ya Shia Ithnaashariya na mwanaharakati wa muda mrefu mkoani Arusha. Katika ziara hiyo jopo walipata fursa ya kumsalimia baba yake Mzee Mukhtari anayesumbuliwa na Maradhinna utu uzima pia walimuombea dua.

image

image

Viongozi waliongozana na Mawalana Jalala wakikaribishwa nyumbani na Mwenyeji wao Ghulam Mukhtari

image

image

image

Sheikh Jalala akiwa karibu kabisa na Baba yake Ghulamu akipewa maelezo ya Maradhi yanayomsumbua.

image

image

image

image

image

image

Sehemu nyingine ya ziara ilikuwa nyumbani kwa Marhum Sheikh Tajir. Hapa uongozi wa Msafara walipata fursa ya kumuombea dua na kula chakula cha mchana

image

image

image

image

image

image

Baada ya kukamilisha dua na chakula cha mchana ziara ilielekea nyumbani kwa Sheikh Abuu Ayman. Sheikh Maarufu mkoani Arusha mwalimu wa muda mrefu wa dini.

image

image

Na jioni msafara ulihitimisha msafara wa Tabligh kwa kuzuru Msikiti wa Kijenge. Hapa ndipo Mahali maulana Hemedi jalala alipoanzia Maisha yake ya Dini kwa kufundisha dini katika Madrasa ya Kijenge na kuwa Imam wa Msikiti huo na baadae kuondokea hapo na kwenda masomoni nchini lebanon.

image

Sheikh Khamisi Mwadago akiwakaribisha Wageni wake katika Msikiti wa Kijenge

image

image

image

Mawlana Sheikh Hemedi Jalala akizungumza katika msikiti wa Kijenge na makumbi ya wa waumini walikusanyika baada ya Swala.

image

Sheikh Mohammad  Abdi Mbwana akisalimiana na kuzungumza na waumini wa msikiti wa Kijenge.

image

image

image

Sheikh Qassimu Khamisi Mataka akiwashukuru jopo la Tabligh lililoongozwa na Mawlana Sheikh Jalala.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 8, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: