SIKU YA 2: ZIARA YA TABLIGH MKOA WA ARUSHA

Baada ya Chai ya Asubuhi siku ya pili msafara ulielekea mpaka mji wa Olacity eneo la Mji mpya kwa kumtembelea Sheikh Mustafa Mwachenye na kuitizama chuo chake cha dini.
image

image
Jopo wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya chuo cha dini kinachoendeshwa na sheikh Mustafa Mwachenye.
image

image

image
Baada ya kukamilisha ziara huko Mji wa Olacity jopo la Masheikh lilielekea eneo la Bullet hapo katika Masjid Nuur na Madrasa inayoendeshwa chini ya Ulezi wa Mawlana Sheikh Hemedi Jalala chini ya Usimamizi wa Ustadhi Amru Haruna.
Mawlana walifika Masjidi nuur na kukuta shuguli za Ujenzi zikiendelea na kujiunga kusaidia

image

image

image

image

image
Mawlana sheikh Jalala akichota Mchanga kusaidia ujenzi wa msikiti.
image

image
Mawlana Sheikh Hemdi jalala na jopo lake wakiongoza dua ya Umoja kwa wauminini waliojumuika katika ujenzi wa Msikiti

image

image

image

image

image
Kisha msafara ukielekea moja kwa moja mpaka kituo cha dini cha khatamul Anbiyaa. Kihistoria hapa ndipo eneo ambalo mawlana Sheikh Hemedi jalala alifikia na kuanzia harati zake baada ya kutoka masomoni.
image

image

image
Eneo hilli ndio ilipokuwa nyumna yake ya Awali alipokuwa akiishi mawlana Sheikh Jalala. Aliporudi masomoni na kuanza kufundisha katika chuo cha Khatamul Anbiyaa.
image

image

Jopo katika picha ya pamoja na baadhi ya waalimu wa chuo hicho cha khatamul Anbiyaa


Kisha msafara ukaelekea eneo la Shamsi kwa Ajili ya kuzuru kituo cha Dini cha Shia Centre na kuonana na Wanafunzi wa chuo hicho. Ikiwa ni sehemu ya kupeana nguvu na mikakati mipya katika kufanya Tabligh.
image

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 8, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: