MUBALIGHIIN DSM- WAKUTANA NA SHK ABBAS

                                                 MUBALLIGHIIN DSM- WAKUTANA NA SHEIKH  ABBAS

DSC00961

Sammahat Sheikh: Abbas Kaaby Nasab

Mujtahid: Sammahat  Sheikh Abbass Kaab Nasab, kutoka Iran,ambae ni mmoja kati ya wale watu 86 wanaounda jopo la majlis khubaraa ,wanaomteua Qaid, (kiongozi mkuu wa kiroho), leo  alhamis,amekutana na walim na mubalighiin katika jiji la Dar es salaam, katika mazungumzo yake yaliyofanyika katika chuo cha jamiat Mustwafa- upanga Dar es salaam. alizungumzia juu ya uhakika wa hukmu za mwenyezi Mungu na mwongozo na ubainifu wa Wilayatul Faqiih, akizizungumzia harua za hukmu,alisema hatua ya kwanza ni kuanzisha dola (Taasisi) na hilo alilianzisha mtume (s.a.w.w) madina, alisema”mtume (s.a.w.w)kama Rais wa dola, Nabii, Muballigh, Hakim, Qadhi,alikua ndie kiongozi mkuu wa dola, hakukua na utengano kati ya dini na siasa, bali vyote vilienda sawasawa. na kusimamiwa na yeye mwenyewe mtume (s.a.w.w)”.

DSC00973hatua ya pili ni uhifadhi na kuziendeleza sharia za Mungu, nahili lilifanywa na imam Alii (as) na imam Hasan na imam Husein (as) na likarithiwa na maimam (as),walihakikisha hukmu za kiislaam zinabaki hata kwa kujitoa muhanga, alisema ” ndio maana imam Husein (as) alisema, uislaam kwaheri ,ikiwa utasimamiwa na mtu kama Yazid”

DSC00974

baadhi ya Muballighiin,

DSC01026aliendelea kusema kuhifadhiwa huku na kuendelea kwa hukmu za sharia za mwenyezi mungu, kuliendelea kuhifadhiwa hata baaba ya ghiiba ya imam Mahdi (a.t.f.s) kwa maulamaa na masheikh, kama kina sheikh Tussi, na Allamma Hilliy kuendeleza kwa kufungua hawzat, ambapo maulamaa hao waliweza kuihifadhi dini. na mwisho ikafika hatua ya Nuru ya KIISLAAM, ambapo imam KHOMEIN chini ya wilayat Faqiih, aliweza kulisimamia na kuendelezwa na Qaid Imam KHAMENEI, Kwahiyo kazi ya wilatul Faqiih ni kuendeleza  na kuzisimamia, zile hukmu, sharia zilizoachwa na mtume (s.a.w.w) na maimam watoharifu. DSC00970

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 11, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Mashaallah hakika njia sahihi ya kufikia malengo ni ya wilaya na ni jukumu letu kuilinda na kuifata

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: