WAJUMBE WA AHLULBAYT WORLD ASSEMBLY KATIKA KONGAMANO LA KUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU

Leo Alasiri waumini mbalimbali wakiwemo wageni kutoka nchi za Afrika waliokuwa wakihudhuria katika kongamano lililoandaliwa na Ahlulbayt world Assembly walipata fursa ya kuhudhuria katika kongamano la kuukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani kongamano lililoandaliwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa (Bakwata) kwa kushirikiana na Kituo cha utamaduni cha Iran.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ayatollah Abbas  Kaab Nasab, alisema, tujipambe na tabia nzuri, kwa maneno ya mtume (s.a.w) mwenye kuwa na tabia nzuri, ataweza kupita katika swiratwa, na kuingia peponi, alinukuu hadith ya mtume s.a.w.w enyi watu umekufikieni mwezi wa mungu, ulio na baraka na kuitwa kuwa wageni wa mungu, pumzi zenu tasbih, usingizi wenu ni ibada na matendo yenu ni yenye kukubaliwa, akawataka watu wasiipoteze fursa hiyo tukufu.
Nae balozi Sefu Ali Idi katika nasaha zake, aliwaomba wafanyabiashara kuwa na huruma kwa waja wa mungu watakaofunga, kutowapandishia bei za vyakula, wawaonee huruma.
Na akawataka waislaam kufanya mema kuwasaidia maskini, mayatima, wajane na wagonjwa,
Mwisho aliwashukuru waandalizi wa hafla hiyo, Bakwata na kituo cha utamaduni cha wairan kwa kuwakumbusha tukio hilo muhimu, alisema “ikiwa swala ya kila siku tunakumbushwa kwa adhana vipi tukio hili lisikumbushwe? Aliwashukuru na kuwataka kila mwaka kuliandaa tukio hili muhimu, kwani watu wanapata fursa ya kujiandaa na kujifunza yale yanayostahili kufanywa na wale wenye saumu za kulipa waweze kulipa kabla ramadhan nyingine kuwafikia.

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 14, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: