SWALA MAALUMU YA KUSWALI MWILI WA MAREHEMU MUFTI WA TANZANIA SHAABAN SIMBA

image

Sheikh Issa Shaaban Simba, 78

Leo Asubuhi majira ya saa Tano maelfu ya waumini wa kiislamu walikusanyika makao makuu wa BAKWATA eneo la Kinondoni Dar es salam kushiriki Swala ya kuuswalia Mwili wa Mufti wa Tanzania Sheikh Issa Shaaban Simba, (78) aliyefariki    dunia Majira ya saa 3:45 Asubuhi ya Jana Tarehe15 katika hospitali ya TMJ alipokuwa akiuguza Maradhi ya Kisukari na Shinikizo la Damu.

image

Akizungumza baada ya Ibada ya kumswalia Maiti Mawlana Sheikh Hemedi Jalala alisema “ametutoka mtu aliyekua akituunganisha, mtu wa hekima katika mambo magumu, tutamkumbuka hasa katika kipindi hiki tunachoelekea katika matukio muhimu ya taifa. Akieleza sifa zake amesema mufti alikuwa mtu wa watu wote hakubagua Wakristo wala Waislamu wote kwake walikuwa kama vile baba na wanawe.

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

Profesa ibrahimu lipumba akitoa salamu zake na nasaha zake kuhusu kifo cha Sheikh Issa Shaaban Simba,

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 16, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: