MWEZI WA RAMADHANI NI DARSA LA KUTUFUNDISHA UMOJA

MWEZI  WA RAMADHANI NI DARSA LA KUTUFUNDISHA UMOJA

DSC01163

Maulana Sheikh Hemed Jalala: Imam wa Msikiti wa Ghadiir-Kigogo

Akitoa Hotub a ya Ijumaa katika msikiti wa  Ghadiir- Kigogo, Maulana sheikh Hemedi Jalala, alisema: tupo katika Mwezi mtukufu  wa Ramadhani ambao una fadhila nyingi,na miongoni mwa fadhila hizo ni kushughulikia umoja,”aya ya swaumu hadithi za mtume (s.a.w.w.) na Maimam na mienendo yao utapata moja ya darsa walilosemesha ni umoja baina ya watu nahususan  waislaam .Alisema ukiangalia masuala ya umuhimu wa utoaji sadaka,kumfuturisha mtu, kuwatazama  mayatima yote kuonyesha umuhimu wa umoja.

Alisema ukiiangalia aya ya swaum  inawataja waumini wa leo na hata waliopita kabla yetu, kwanini ililetwa kwa watu hao wote? Somo lililopo ni kupatikana umoja. Huyu mungu wetu ni mmoja na panapotoka maelekezo hayo ni mahala pamoja.Ukiiangalia hotuba ya mtume (s.a.w.w) ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani ilielekezwa kwa watu wote, nguvu ya watu inapatikana katika umoja.

Akizungumza jinsi mtume (s.a.w.w) alivyounda umoja, alisema” Uislaam uliingia kwanza Afrika kabla ya Madina, na mara ya kwanza  Qur aan kusomwa katika Ardhi ya Afrika,Waislaam wa mwanzo kuhamia Ethiopia (Afrika) waliishi kwa umoja na maelewano na wenyeji, na hata mtume (s.a.w.w) alipohamia Madina jambo la kwanza alilolifanya ni kuunga udugu na baina ya Answar na Muhajiriina.

DSC01180

baadhi ya waumini wakisikiliza khutba ya ijumaa

Aliwaasa waumini kuwa, kama Waislam wanataka kufanya virozo, maajabu ni kujikita katika umoja, na matunda yake yatapatikana na kama watataka kuendelea kufeli ni kung’ang’ania mizozo na mifarakano.

“Waislaam wanakabiliwa na matatizo mengi, umasikini, ufakiri, matatizo ya kielimu, kiafya, njaa, hayo yote hayatatoka kwa waislaamu bila yakuwa kitu kimoja,” inasikitisha kuona leo kupatikana nyumba ya muumini aliyefunga lakini ikifika muda wa kuftar hana cha kukila, watu wanaogopa kuzaa kwa kufikiria watoto wake atawasomesha vipi? Watoto au mtu katika jamii akiugua hakuna msaada wakumtibu, ni kweli hatuna uwezo? Laa ,matatizo hayo yanaweza kutatuliwa watu wakiwa pamoja.Sisi tuna rasilimali watu,kwa sasa mnaona nchi imetulia vurugu hakuna ,baa zimefungwa, ni dalili kuwa sisi waislaam tupo wengi, hivi kweli tukiwa  pamoja fikra za kisuni na kishia zikiwa pamoja tutashindwa  kuunda Taasisisi, au kitengo, au kundi la kuyashughulikia hayo?.” Lipi litashindikana wakati Waislaam wote ni wamoja, Mungu wetu ni mmoja, mtume wetu ni mmoja, Qur ‘aan yetu ni moja, Kibla chetu ni kimoja, Mwezi wa Ramadhani sote tunafunga mwezi uleule wa BAKWATA, mengi yanatuunganisha , kwanini tumegawanyika?

Mwisho Maulana aliwasihi waumini, kuutumia mwezi huu, na baada ya mwezi kudumisha umoja na maelewano kwa wanajamii , Waislaam na watanzania wote kwa ujumla.

About Asadiq Media

Media for publicise the message of Wilaya under Imam Swadiq

Posted on June 26, 2015, in Uncategorized. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Elijah J. Magnier

Middle East Politics

elbinawi

To interact with humanity & share ideas...

felicity114

felicity is the purpose of everybody

Ladakh Express

Ladakh's 1st political and cultural online journal.

Islamic Library

Shia Islamic PDFs - Now in Collaboration with ShiaTranslate.org!

zahraa Foundation

Fatima bint Muhammad is the Symbolization of Women's Power in Islam

mmubaraka1

A fine WordPress.com site

Pilgrim Center of Hope

Catholic Evangelization Ministry

World Shia Forum

Identity, Equality, Unity

Source of Inspiration

All is One, co-creating with the Creator

Bill Langill's Blog

Love is the Answer

Interrupting the Silence

An Episcopal Priest's Sermons, Prayers, and Reflections on Life, Becoming Human, and Discovering Our Divinity

Morgan L. Busse

In Darkness there is Light

YOGA

When unconscious became conscious this is Samadhi

Zoroastrians.net

Parsis, Iranis, Zarathushtis, All Under One Roof

Islamic Laws

Raising Awareness on Fiqh and the Ulema

Tech Cloud

Imagine | Innovate | Implement

Mujtaba Somji

Islamic sayings

%d bloggers like this: